Mwanamke akiwa hivi lazima nikimbie tu

Binafsi mwanamke nikimkuta akiwa na muonekanao huu lazima nikimbie hata kama namuhitaji kwa kiasi gani

Kope bandia
Nywele kashonea
Kucha bandia
Suluali yaani jeans imetoboka magotini
Sura imejaa make up

Hapo hata sijushughulishi nae

Je nyie wenzangu huwa muonekano upi unakufanya umkimbie mwanamke ikiwa unahitaji kumtongoza?
Kweli mmetofautiana kuna best angu alipata jamaa mmoja anaependa nywele ndefu akamwambia awe anasuka mana alikua ananyoa akaanza kusuka jamaa akawa ananunua na mawigi bila kuambiwa. KIZURI MACHONI PAKO NDUGU.
 
Kusuka 100% napenda mwanamke wa hivyo mwenye nywele zake za asili ila sio nywele bandia ngumu sana kwangu kumkubali mwanamke wa hivyo
 
As long ananipa papuchi Mara 4 kwa wiki na mizinga sio ya mwendo kasi,nitakimbia vipi kwa mfano,aniletee papuchi Jumatatu,Jumatano,ijumaa na Jumapili
Binafsi mwanamke nikimkuta akiwa na muonekanao huu lazima nikimbie hata kama namuhitaji kwa kiasi gani

Kope bandia
Nywele kashonea
Kucha bandia
Suluali yaani jeans imetoboka magotini
Sura imejaa make up

Hapo hata sijushughulishi nae

Je nyie wenzangu huwa muonekano upi unakufanya umkimbie mwanamke ikiwa unahitaji kumtongoza?
 
Hivi kuna wanawake wanaweza kua na sifa zote alizozutaja mleta Uzi?
 
huyo ni
Binafsi mwanamke nikimkuta akiwa na muonekanao huu lazima nikimbie hata kama namuhitaji kwa kiasi gani

Kope bandia
Nywele kashonea
Kucha bandia
Suluali yaani jeans imetoboka magotini
Sura imejaa make up

Hapo hata sijushughulishi nae

Je nyie wenzangu huwa muonekano upi unakufanya umkimbie mwanamke ikiwa unahitaji kumtongoza?
huyo ni mzuri maana akionekana bandia bandia na wewe onekana bandia bandia ili ule na usepe fasta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom