Mwanamke akikupenda huitaji nguvu

Mwanamke akikupenda huitaji nguvu

Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado anafosi.

Binti akitumiwa message anakuja kunionesha Mimi, Tunakula ela za jamaa akitumiwa tunaenda kuinjoy.
Kuna siku atampa kimasihara.
hata kwambia ila ukaribu wako na huyo Binti utaisha taratibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom