Mwanamke akikupenda huitaji nguvu

Mwanamke akikupenda huitaji nguvu

Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado anafosi.

Binti akitumiwa message anakuja kunionesha Mimi, Tunakula ela za jamaa akitumiwa tunaenda kuinjoy.
Ingekuwa vema kama ungeongea na jamaa mwenyewe, kishkaji tu kuwa he aint shit, atafute utaratibu mwingine

Vijana wengi hawaelewi hii
 
Jamani kuna post ya kijinga kama hii na bado hamnishtuwi tucheke wote!
 
Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado anafosi.

Binti akitumiwa message anakuja kunionesha Mimi, Tunakula ela za jamaa akitumiwa tunaenda kuinjoy.
Jasho la mtu haliliwi kamwe utakuja kulipa.
 
Ndiwo lo ! Wewe ndo unanifanya naringa humu ujue!!!

Mwanamke anapenda mdogo mdogo kadiri siku zinavokwenda upendo unaongezeka huku kwa mwanaume ni kinyume chake!!!
Nikikuonesha upendo wote asilimia zote utaanza kusumbua akili na moyo wangu...

Ngoja uendelee kung'ata ng'ata kucha kidogo kwanza... Hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom