Mwanamke akikupenda huitaji nguvu

Mwanamke akikupenda huitaji nguvu

Bei Rahisi Electronics

Senior Member
Joined
Apr 4, 2025
Posts
197
Reaction score
583
Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado anafosi.

Binti akitumiwa message anakuja kunionesha Mimi, Tunakula ela za jamaa akitumiwa tunaenda kuinjoy.
 
Wewe na huyo mwanamke "mnakula hela ya mwanaume" kuna siku nanyie mtaliwa vitu vyenu......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom