Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Alitaka kukugeuza 'kigawe kidogo cha shirika'?
Alitaka kukugeuza 'kigawe kidogo cha shirika'?
Unajua wakati mwingine threads na posts tunazifanya kuwa ndefu bila sababu ya msingi!
Hapo nilipo-highlight kwa mfano, we ungeandika tu "Kuna Dada Fundi Bomba" ungeeleweka fasta, lakini mara oh, anahusika, mara kugwa, mara sijui utoaji... what's wrong with you guys!!!!!!
Mkuu umenena nashangaa wadau wanataka niingie hasara kisa 150k.Mlichukulianaje ..."Passing like a Shadow?".
Ikiwa niivo, usithubutu kabisa kua mwepesi wa Kunyoosha mkono wako kisa ni 700k , 300k, 150k ... Kuna siku ukitulia utajikuta umetumia zaidi ya 2M kwa sababu ya K.
You must be assured kua ni mwanamke wako ,niwewe unaye mmiliki and so lazima uchukie responsibilities ( Kumhudumia mwanamke wako , na kwa kuzingatia wewe unamjua vema ni wajibu wako)
Lkn hawa mnaokutana nao kwa ajili ya "Usiku wa Faida".........sio kitu ni wanyonyaji tu... Ni wale ambao anakua na
1-Bwana wa Pango
2-Bwana wa Vyakula , maji ,umeme na Vikoba
3--Bwana wa mavazi
4-Bwana wa Laptop ,simu na Bando.
5-Nakadhalika
kama umewahi enda DAWASA kufuatilia huduma ya maji utajua kuwa unalipia vifaa then wanakupa mafundi , kabla ya kukupa fundi kuna mhusika ambaye anamsainisha mkataba yule fundi na kumkabidhi vifaa fundi hiyo fomu ya mkataba fundi atatumia kudai malipo kazi ikiisha, huyo mtoaji wa mkataba na msimamizi wa mafundi ndiyo dada ninayemuongelea hapa. bila kukataa au kukubalia naue anaweza kuwa fundi hii haibadirishi chochoge kwenye post yangu.Unajua wakati mwingine threads na posts tunazifanya kuwa ndefu bila sababu ya msingi!
Hapo nilipo-highlight kwa mfano, we ungeandika tu "Kuna Dada Fundi Bomba" ungeeleweka fasta, lakini mara oh, anahusika, mara kugwa, mara sijui utoaji... what's wrong with you guys!!!!!!
Hahahaha hahahahaha hahahahaha hahahah sina mbavu dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poleee, ila ungemkopesha uone uaminifu wake hata nusu tu ya hiyo pesa.
Swali zuri sana hili, huenda shida ilianzia hapoHiyo laki 3 ulikuwa nayo lakini?
Hiyo laki 3 ulikuwa nayo lakini?