Mwanamke akikukubalia ana shida ya pesa tu

Mwanamke akikukubalia ana shida ya pesa tu

Yaani umekula mara mbili bure halafu kutoa rambirambi tu unaona hasara, wewe ni wa hovyo kweli kweli.... jiridhishe kama msiba ni wa kweli kisha jiguse chochote bwashee.
Hapa hamna mwanaume
 
Ungeangangalia kama kweli ana msiba, ufanye kama umemuazima hiyo laki na nusu au umpatie kiasi cha pole. Kumbuka umemla mara mbili ndugu bila kumpa chochote.
Atakua alisikitika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi demu nikishamtafuna lazima nibaki na picha yake akiwa uchi...

Hapo hata akikopa milioni ntampa, Ila asijidanganye anidhulumu, atajuta kuzaliwa.
Picha za uchi siku hizi sio habari mpya
 
Hii ni kweli hawa nyumbu wanaangalia maslahi sana kuna jamaa yangu alikuwa na mchuchu wake wakisomana vizuri tu. Wkt huo yule bidada hakuwa na kazi alikuwa ndo katoka shule. shida ilianza dem alivyopata kazi tu akaanza kumzingua jamaa mara anakaza na vimisimamo vya ajabuajabu. Huku na huko dem akapoteza ile kazi. Hapo ndo wakaanza kwenda sawa na jamaa.jamaa akaishia kumwangalia kwa jicho la Josevereth



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom