Daddo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,435
- 1,027
Naona mabahari mnalalama jamaa kushindwa kutoa laki na nusu eti ili ampime manzi uaminifu, kwani Kuna sehemu jamaa kasema ana mpango wa kumuoa dem? Mimi ninachokiona ni kwamba jamaa alitamani tu kula mzigo basi,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app