Mwanamke afariki dunia Morogoro akijaribu kutoa ujauzito

Mwanamke afariki dunia Morogoro akijaribu kutoa ujauzito

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito.

Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya yasitokee?
1759399932335.png
Chanzo: Azam Tv
 
Mbona ni mama wa makamo kwa nini ahangaike kutoa mimba kama mabinti? Alibakwa na kupata mimba asiyoitaka? Pumbavu zake ni mpuuzi, kama hakubakwa na alitafunwa kwa hiari yake bila kinga hakujua matokeo yake?
 
kwanza umri huo atakuwa mke wa mtu, pili atakuwa amebeba ujauzito usio wa muhusika.
 
Alitaka kujiepusha kuwa Single mother ila kifo kikampenda zaidi, ajali kazini.
 
36yrs?? Unakuta mimba ya miezi mitano huko ndiyo mtu anashtuka kutoa!!
 
Dah! Kajikosesha haki yake ya kupiga kura.
 
Back
Top Bottom