Mwanamke afariki baada ya kufanya mapenzi nje Ndoa

Na wanaume watulie kwani umesikia amekutana na mtoto? Si mume wa rafiki yeke

Correct your statement.
Ni lini binadamu tutatulia na kuwa waaminifu!
Hi Mama

Longtime

Kuna mambo matatu hapa:
1.Ugonjwa:Tunachukuana bila kujua background za kiafya za yule unapiganae mechi.
2.Overexcitement:
3.Tego

Lakini jingine la msingi ni kwamba WANANDOA WAACHE KUELEZA MATATIZO YAO YA CHUMBANI.Inawezekana hayo mahusiano yalianza baada ya MAMA KULALAMIKA KWA SHEMEJI YAKE kuwa bamsap wake hamtoshelezi,na SHEMEJI naye inawezekana ni FUNDI kampa utamu mama(overexcited) mpaka mapigo ya moyo yakafika mwisho,kama ni mshale ulishafika kwenye max na bado SHEMEJI anaendelea kugandamiza.

LAKINI PIA KUNA SUALA LA IMANI.
Wanatheolojia wanasema kinachomatter kwenye suala zima la SAFARI YA KWENDA MBINGUNI ni kwa jinsi gani UNATUMIA NAFASI YAKO YA MWISHO.
Meaning wakati wako wa YALE MASAA YAKO YA MWISHO.

Yule Mnyang'anyi alikuwa mnyang'anyi kwa maisha yake yote,lakini ile saa ya mwisho wakati yupo msalabani na YESU alitubu na kumwomba YESU asimsahau katika ufalme wa MUNGU,AKASAMEHAWA NA AKAPEWA ASSURANCE YA KUCHEZA KWENYE KIFUA CHA IBRAHIMU.
Lakini wakristo wanakumbuka Maisha ya ngono aliyoishi mke wa Farao ,yeye alipewa nafasi ya kama ile ya Mnyang'anyi ,badala yake ALIMSHAURI MWANAE AOMBE KICHWA CHA NABII.

Inawe
 
Hakika ukiwa mnafiki na Mungu atakudhalilisha mbele ya umati......na hata shetani anakukana kuwa hajakufundisha uzinzi huku akiwa mlokole ....unafiki dawa yao ni kuumbuliwa ............sasa anasubiria hukumu yake....kwa kweli ni aibu sana kwa ukoo wake mzima...
Mkulu

Hayo siyo maneno ya mtu aliyeshiba miaka na kukutana na mitihani mbalimbali katika maisha.

Sema, MUNGU APISHE MBALI.

Ndugu yangu MAISHA NI KITU CHA AJABU SANA.KUNA MASWALI MENGI SANA KATIKA MAISHA YASIYO NA MAJAWABU.

Btw, how ur you Mkulu Longtime heh.
 
LAZIMA UKITONGOZWA UKUBALI?KAZI YA MWANAUME NI KUTONGOZA HIVYO MWENYE KUVUA NGUO HAPO NI MWANAMKE NDO MAANA LAWAMA HAITAKUJA KUISHA KUWALAUMU HAO WANAWAKE.

KUTONGOZWA NI SEHEMU YA MAISHA YAO KUKUBALI NI MAAMUZI YA MWANAMKE.HIVYO MWANAMKE ANAKOSA KUBWA!!

SWALI NI KWAMBA HALIZIKI NA MUMEWE?AU KUNA TAMAA NYINGINE ZAIDI YA HILO.
Mkuu Chakuu huu sasa ni uonevu, it takes two to tangle, acha kumkandamiza mwanamke,kama ni hamu ya ngono si mwanamke si mwanaume wote tuna hamu.
 
Mkuu Chakuu huu sasa ni uonevu, it takes two to tangle, acha kumkandamiza mwanamke,kama ni hamu ya ngono si mwanamke si mwanaume wote tuna hamu.


Asante Bishanga!

Huyu Chaku haelewi mzizi wa dhambi.

Unatakaniambia ni lazima mwanaume atongozee kila aipate mbele yake???Kisa ana mdomo wa kutongozea?? Wewe ndo unaendekeza uzinzi, endelea na tabia yako. Adhabu yako inakufuata.
 
Thanks kwa kuhitaji ufafanuzi.The issue was Huyu mama alikuwa na anauza duka kibaha picha ya ndege ilipofika jiona akafunga duka lake hilo akaenda kwa huyo mgoni/rafiki wa mume wake kwa ajili ya kusaliti ndoa yake.

Hivyo wakati wapo kwenye zoezi hilo la kuvunja amri ya sita yule mke mtu akaanza kubadilika kiafya taaratibu mpaka mauti ya kumfika ndipo yule baba kwenda kuomba msaada kwa majirani.

Na jamaa kwa mjibu wa majirani alikuwa kiwembe kishenzi kwa wake wa watu hivyo ni kama mungu amemuonya kwa tabia yake mbaya. na jama alikuwa anaitwa Mapunda mpaka hivi ninavyoongea yupo chini ya ulinzi wa polisi asije uliwa.

hopefull nimeeleweka.

Wifwa Wilola,

Mzinzi baba ni MAPUNDA!! uwiii hili kabila mpatie mwanaume pesa itafikishwa bila kudokolewa lakini kitu MKE!! Usithubutu kuomba mwanaume wa hilo kabila akuangalizie familia yako au akusindikizie mkeo sehemu. Safari itajaa visa vyote ali mradi tu amvue nguo mwanamke. Samahani hilo kabila ila huo ndiyo ukweli.

Pole mama.
 
Na huyu mwanamme unajua ameukosa uume wake, hivyo hataweza kujivinjari tena hata na mkewe
 
Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.


jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?

Mimi binafsi sidhani kama kulikuwa na tego hapo bali huyo jamaa inaoneka alimpa mapigo makali sana ukizingatia alikuwa anapata cha wizi. Kwa hiyo huenda jamaa alikuwa na usongo na mampuri.
 
Hivi thread imekuwa sourced wapi..naona watu wanaendelea kutengeza dhana based on dhana..and ..

Sasa mboni hakuna element za u-Great Thinker hapa? anyone?
 
I think i love my wife...............leo imekuwa, i think i love my husband
 
Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.


jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?

Hivi alikuwa ni MwanaJF mwezetu? RIP
 
kama ni kweli RIP kama ni uzushi Akili Unazo what are u doing dude.. not cool bana:confused3:
 
LAZIMA UKITONGOZWA UKUBALI?KAZI YA MWANAUME NI KUTONGOZA HIVYO MWENYE KUVUA NGUO HAPO NI MWANAMKE NDO MAANA LAWAMA HAITAKUJA KUISHA KUWALAUMU HAO WANAWAKE.

KUTONGOZWA NI SEHEMU YA MAISHA YAO KUKUBALI NI MAAMUZI YA MWANAMKE.HIVYO MWANAMKE ANAKOSA KUBWA!!

SWALI NI KWAMBA HALIZIKI NA MUMEWE?AU KUNA TAMAA NYINGINE ZAIDI YA HILO.


Hapo sahihi kabisa kaka,
Kama alibakwa sawa asilaumiwe, watoto wa kike ni easy taker sana, thats why most of the time wanafanya ndivyo sivyo kwa kuhisi ni mbadala wa mapungufu ya wenza wao.
They are busy thinking of alternatives than solution.
In general most of them are narrow minded brain "Sorry for this hash language- Mkuki moyoni"
Regards
 
Kuna sababu nyingi zinazosababisha kifo. Kwa jinsi habari hii ilivyokuja, haiweki bayana uhusiano wa kifo cha huyo mama na kutembea kwake nje ya ndoa. Ninachosema ni kwamba inawezekana kweli ametembea nje ya ndoa yake, na inawezekana kweli amekufa; lakini mbona mleta habari hajaonyesha mahali kwamba alikufa kwa sababu ya kutembea nje ya ndoa? Je, amefia kitandani/kifuani? Je, amekufa immediately baada ya kutoka kwenye uzinzi? Na interval ilikuwa muda gani btn the two events? Inawezekana amekufa kwa sababu nyingine pamoja na kwamba amefanya mapenzi nje ya ndoa. Naombeni habari kamili.
..Huyo huenda alikuwa na matatizo yake mengine ya afya na vile amekutana na mjamaa wa pembeni ambao mara nyingi wakipata vya wenzao wanatumia kwa fujo ndio hivyo tena. Maana kama tatizo ni kufanya mapenzi nje ya ndoa mbona tendo hilo atakuwa akilifanya na mume wake wa ndoa na si ajabu mara nyingi tu. Lakini huenda mume hana matumizi ya fujo ni mali zake maisha yalikuwa poa tu.
 
hii imeenda extreme lakini nishazisikia kesi za watu wakifanya mapenzi wakimaliza wakaganda hawaganduki! ....

pata picha uko na mke wa watu! mpaka iitwe ambulance heheh
 
Back
Top Bottom