Mwanamke afariki baada ya kufanya mapenzi nje Ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke afariki baada ya kufanya mapenzi nje Ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Unazo!, Jul 2, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,793
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280
  Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.


  jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kumradhi,

  Na aliyekuwa anatembea naye hakufa? Huyo ambaye umesema ni rafiki wa mumewe, hakuwa na mke?

  Nachelea kusema "Rest In Peace" kwa marehemu....
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jul 2, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na wanaume watulie kwani umesikia amekutana na mtoto? Si mume wa rafiki yeke

  Correct your statement.
  Ni lini binadamu tutatulia na kuwa waaminifu!
   
 4. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,793
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280
  no aliyekufa ni mwananmke na si mwanaume ambaye ni rafiki wa mume wa marehemu.
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Lahaula Lakwata!
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Alipata kitu kinaitwa coital hypertension alizidiwa utamu ,huwa inatokea mara nyingi kwa wanaume lakini na wanawake kwa hiyo hakuna tego
   
 7. a

  agika JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  bravo mummy kwanza inawezekana huyo rafiki wa mumewe ndiye aliyemtia majaribuni mke wa rafiki yake , sasa inakuwaje chaku umseme mwanamke peke yake na tendo hilo wamelifanya wote? mhhhh give us a break kwanza umetoa kwenye gazeti gani? la udaku?
   
 8. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ehe asante sana kwa ufafanuzi wako, sasa hiyo coital hypertention ndo nini kwa maelezo ya undani zaidi. Je dawa yake au kinga ni nini! ntashukuru sana kwa ufafanuo huo.
   
 9. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna sababu nyingi zinazosababisha kifo. Kwa jinsi habari hii ilivyokuja, haiweki bayana uhusiano wa kifo cha huyo mama na kutembea kwake nje ya ndoa. Ninachosema ni kwamba inawezekana kweli ametembea nje ya ndoa yake, na inawezekana kweli amekufa; lakini mbona mleta habari hajaonyesha mahali kwamba alikufa kwa sababu ya kutembea nje ya ndoa? Je, amefia kitandani/kifuani? Je, amekufa immediately baada ya kutoka kwenye uzinzi? Na interval ilikuwa muda gani btn the two events? Inawezekana amekufa kwa sababu nyingine pamoja na kwamba amefanya mapenzi nje ya ndoa. Naombeni habari kamili.
   
 10. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  NO justification!! Uzinzi ni uzinzi, awe ameanza mwanamke au mwanume!! Siku ya hukumu allah atawauliza waja wake mazingira ya kifo chake, huyu nae atajibu " Nilikuwa katikatika ya miraha nikashitukia usingizi unanipitia ndo jumla?"
  God: Ulikuwa na nani?
  Mzinzi: Na mume wa rafiki yangu
  God: Koooooooooooooooooot!!
  Haina haja ya kutafuta makosa mengine kv hilo peke yake linatosha na hakupata muda wa kutubu!!!
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Hii habari ni udaku haina mashiko kama hatuna taarifa za kina zaidi
   
 12. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi ndivyo nipendavyo penny hana muhali na mtu, ikiwa jambo halielewi haweki dukuduku moyoni anajiulizia,kwani kuliza si ujinga wahenga walisema uliza ujinga uerevuke .
   
  Last edited: Jul 4, 2009
 13. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndo maanake ndugu...angalia spelling zako pia.
   
 14. S

  Shingo Senior Member

  #14
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 127
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unaweza kuta huyu mtu alifariki kwa ajali, pengine wamejua tu kuwa alikuwa na mahusiano, basi wanakuja na vichwa vya habari utashangaa. Hii habari lengo lake ni kuuza gazeti la alasiri na leo wameuza kweli kweli.

  It is sad, lakini that's how we make ends meet.
   
 15. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Hakika ukiwa mnafiki na Mungu atakudhalilisha mbele ya umati......na hata shetani anakukana kuwa hajakufundisha uzinzi huku akiwa mlokole ....unafiki dawa yao ni kuumbuliwa ............sasa anasubiria hukumu yake....kwa kweli ni aibu sana kwa ukoo wake mzima...
   
 16. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 17. Oloronyo

  Oloronyo Member

  #17
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rip mama!
   
 18. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,793
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280
  Thanks kwa kuhitaji ufafanuzi.The issue was Huyu mama alikuwa na anauza duka kibaha picha ya ndege ilipofika jiona akafunga duka lake hilo akaenda kwa huyo mgoni/rafiki wa mume wake kwa ajili ya kusaliti ndoa yake.

  Hivyo wakati wapo kwenye zoezi hilo la kuvunja amri ya sita yule mke mtu akaanza kubadilika kiafya taaratibu mpaka mauti ya kumfika ndipo yule baba kwenda kuomba msaada kwa majirani.

  Na jamaa kwa mjibu wa majirani alikuwa kiwembe kishenzi kwa wake wa watu hivyo ni kama mungu amemuonya kwa tabia yake mbaya. na jama alikuwa anaitwa Mapunda mpaka hivi ninavyoongea yupo chini ya ulinzi wa polisi asije uliwa.

  hopefull nimeeleweka.
   
 19. m

  muhanga JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  penny na wewe wataka kulianzisha? mara nyingi magonjwa kama haya yanayohusiana na moyo huwa kinga yake si rahisi mazingira ya wakati huo yakiruhusu tu moyo unajirestisha in pisi.

  Back to the topic. huyu mwanamke pengine alikuwa akikosa uhondo fulani toka kwa mume alipogundua kuwa rafiki ya mume anamiliki uhondo huo akahamia huko! wakati mwingine anaekutwa na ngozi ndio anaehukumiwa kwa kula nyama, lakini yawezekana kabisa kishawishi cha kutoka nje kilitokana na mume, anyway al in al wote ni wakosaji, mke ataanza kuhukumumiwa mwa Mungu wakati yule mzinzi mume yeye aanza na kichapo cha hapa hapa duniani then kwa Mungu kiko pale pale!
   
 20. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,793
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280
   
Loading...