moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 910
- 947
Teh teh teh hapo miguu ya mtoto ndo imemchoma!!! Haipo
Kidumuuuu..Next time watakuja na mbinu nyingine, huenda wakaweka kwenye diapers za watoto wanao wabeba. Kidumu chama cha masela!
Kuna alikuwa anapeleka bhangi Kenya anaweka kwenye mkoba wa vitambaa vyenye mavi ya mtoto juu polisi wa Kenya wakitaka kukagua wanaacha.Next time watakuja na mbinu nyingine, huenda wakaweka kwenye diapers za watoto wanao wabeba. Kidumu chama cha masela!
Hahahahaaaaaa....comment yako balaaHaki ya Mungu wallah.. it happen in the sky.. Huyu Dada Ni nyoko.. Nimempenda
ningekua mie ndo nimemkamata,ningechukua bangi,ningemrudishia garama zake na kumuacha aende zake,mwanamke kufanya hayo ujue mambo ni magumu sana,ukizngatia bangi zenyewe tunavuta wanausalamaWabunifu kama hao ndio wanahitajika hapa duniani
Hahaaaaaa umetisha aiseeningekua mie ndo nimemkamata,ningechukua bangi,ningemrudishia garama zake na kumuacha aende zake,mwanamke kufanya hayo ujue mambo ni magumu sana,ukizngatia bangi zenyewe tunavuta wanausalama
Ugendua? kwa sababu umeona hiyo picha.Ila katika pilika pilika na kelele ni ngumu kujua vitu kama hivi.Usifikirie ni rahisi mpaka wanakaa karibu watoe siri za watu kama hao la sivyo ni kazi zaidi ya unavyojipa moyo hapo sasa.Tembelea zaidi uswazi ujifunze mengi,acha kusimuliwa simuliwa.Kuna watu wamemchoma huyu mmama,kwa mbinu hiyo ni vigumu kutambua.Njaa huleta maarifa mengi (yenye tija na yasiyo heri)
Uh wapi bana, hata mi ningemtmbua, mtoto gani hata miguuu hana?
kajitahidi ila tu miguu ya mtoto haionekan.miguu huwa nje
Hapo baada ya kukamatwa, ndio maana unaona hivyo.Teh teh teh hapo miguu ya mtoto ndo imemchoma!!! Haipo
Uleta = Huleta.shida uleta maarifa
No umekosea, wasukuma hawalimi bangi, maybe ungesema 'WAKURYA BWANA'wasukuma bwana
hahahahahhahhaah! umenikosha jombaaKidumuuuu..
Duh iyo kaliKuna alikuwa anapeleka bhangi Kenya anaweka kwenye mkoba wa vitambaa vyenye mavi ya mtoto juu polisi wa Kenya wakitaka kukagua wanaacha.