Mwanamke abeba bangi mgongoni kama mtoto!

Mwanamke abeba bangi mgongoni kama mtoto!

Inasikitisha sana kuona asilimia kubwa ya comment za hii mada wanamsifia huyo mama kwa mbinu ya usafirishaji bangi wakati bangi inaharibu maelfu ya nguvu kazi!! Kufanya kitu kinyume na sheria ni kosa,huyo mama afikishwe Kwenye mkono wa sheria na sheria ifuate mkondo wake.
Wewe imewahi kukuharibu!? Acha uzushi na unoko Dogo.
 
Kuna Kitu kinakutatiza.. Au umeshindwa kuendena na maana ya kutumia neno hilo mahali hapo.

Hata wembe.. Hutumika kunyolea na kukatia kucha.


Ulitengenezwa kwa ajili ya nn huo wembe labda tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom