Mwanamke abeba bangi mgongoni kama mtoto!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,376
24,928
Mama amekamatwa buguruni akiwa amebeba bangi mgongoni kama mtoto.

Ubunifu wa namna ya usafirishaji dawa za kulevya unashika kasi siju hadi siku.

View attachment 320010
uploadfromtaptalk1454085486741.jpg
 
Tena ana kitambaa cheupee kichwani utadhani anaeneza zile habari njema wanazopenda walokole.Aisee,mamaee maskini wa mungu muacheni tu,watu wenyewe wanataka majani kwa sana.Yeye anatafta tu namna ya pesa zitakavofika mfukoni mwake.
 
Next time watakuja na mbinu nyingine, huenda wakaweka kwenye diapers za watoto wanao wabeba. Kidumu chama cha masela!
 
Wanawake wamakuwa wasafirishaji wakubwa wa madawa ya kulevya na hii inasababishwa na immunity kubwa waliopewa kisheria kuhusu upekuzi na huitumia advantage hiyo ya immunity na heshima wanayopewa kutokana na maumbile yao.
 
Aisee ningekuwa ni mimi ndo nimemkamata ningeishia kucheka tu na kumuachia aende zake, ni mbunifu sana.
 
Woman of the year

Ushujaa na ujasiri wake ni kama akina Merkel na Malala
 
Kuna watu wamemchoma huyu mmama,kwa mbinu hiyo ni vigumu kutambua.Njaa huleta maarifa mengi (yenye tija na yasiyo heri)
 
Back
Top Bottom