Mwanamabadiliko tuambie hali ilivyo hapo unapoishi

Mimi niko Kijiji cha Manushi Sinde kata ya Kibosho Moshi vijijini. Ni Chadema ina nafasi kubwa sana ya kushinda.
 
Niko sengerema, kufikia saa 4 asubuhi, Tabasam wa chadema/ukawa atakuwa ashamgalagaza m-ccm. Kwa kifupi Tabasam na chadema/ukawa kwa ujumla huku hawana kazi ngumu.
 
Morogoro town ni Abood tu. Halmashauri inaenda Ccm na urais Magufuli

Morogoro mjini hiihii!? Ubunge Abood atapita kwa shida, urais Lowassa kama huamini, pita nanenane, kihonda, mjini stendi ya hiace na soko kuu ujionee.
 
Nipo hapa msm mjini' hali ni mbaya sana kwa vicent nyerere kwani matayo ambae alikuwa hakubaliki hapo awali anaonekana kukubalikika sana kupita kiasi hivyo tutegemee ushindi kwa ccm
 
Chadema wamehitimisha campaign Rorya(Shirati). Huku Polisi wakimpiga risasi mwana Chadema hali iliyozuwa vurumai. Majeruhi amechangiwa na wana chadema amekimbizwa Bugando Hospitali
 
Nipo hapa msm mjini' hali ni mbaya sana kwa vicent nyerere kwani matayo ambae alikuwa hakubaliki hapo awali anaonekana kukubalikika sana kupita kiasi hivyo tutegemee ushindi kwa ccm

wacha kudanganya watu. ni hivi jimbo la musoma mjini vicent Nyerere wa chadema ndiyo raisi wa musoma anapendwa na kila rika na kifupi cccm hapa ilishatupwa toka 2010 baada ya chadema kushinda nakuchukua halmashauri.

ww unayesema cccm itashinda sijui unaota
 
Chadema wamehitimisha campaign Rorya(Shirati). Huku Polisi wakimpiga risasi mwana Chadema hali iliyozuwa vurumai. Majeruhi amechangiwa na wana chadema amekimbizwa Bugando Hospitali

Du! Sasa hali ikoje kwa wakati huu nani anakubalika na nani hali yake ngumu katika harakati hizi?
 
musoma mjini ccm tulishaiweka kando toka 2010 na hatutaki kuiskia. hapa ni sehemu ya mfano wa Mabadiliko ya kweli. nchi nzima ingekuwa kama musoma mjini basi lowassa angeshinda 95%.
 
Niko Shinyanga Mjini Hapa mabadiliko ni Dhahiri Shahiri Asubuhi na Mapema Patrobas Katambi atakuwa mbunge wa upinzani kwani tuna uchungu na Wizi wa Wazi.wazi wa Stephen Masele dhidi ya Hayati Philip Shilembi tutamuonesha kuwa 2010 alikuwa mjanja na Polisi wake Urais ni Mfugaji mwenzetu ENL .
 
Nipo Tanzania naona Dr, aka mwana mathematics aka pombe anakwenda kuapishwa Kuwa rais wa awamu ya 5 hizo zingine zenu ni mbwembwee 2
 
Back
Top Bottom