Mwanamabadiliko tuambie hali ilivyo hapo unapoishi

Hahaaaaa yani nimecheka ET moshi mjin
Nipo Musoma,Bunda , tarime na Serengeti kwa wiki ya 5 sasa - vijana wanywa viroba wote wanaimba CCM mbele kwa mbele, Halima Mdee ajiandae kutunza Moe wa pili, maana Esta Matiko na Bulaya soon watakuwa wake wenza,hali Heche ni mbaya sana kakodi wakenya kufanya fujo. Nyerere Vincent amekimbia jimbo yupo Dubai kwenye business zake
 
Kutoka Helsinki,Finland. Huku ni Ukawa tu. Kila LA kheri wana MABADILIKO
 
Niko hapa Shuleni na waalimu wenzangu. Ni mabadiliko kwa mbele. Hakuna masihara hapa. Ni mwalimu mmoja tu wa FISIEMU kati ya 23 wa CDM.
pigana kwa vyovyote. Linda kura yako.
 
Nko sengerema kiukwel ccm haina chao hpa kuwaakishia il ht mgombea uraic kw tikt y ccm akumnadi Ngeleja; hp n ukawa tuu!
 
Nipo kata ya goba jimbo la kibamba.watu ni mabadiliko tu.tuna uhakika wa 3-0.yaani lowassa, mnyika na Ibrahim kenya
 
Hapa magomeni dar naona 50/50. Navzia vitambulisho. Vya kura kwa wajinga fulani hapa mtaani kwangu kwa gharama yeyote maana maisha yao magumu sana ila bado wana penda chchem. Hata my wife simwamini sana sijui niifiche pia kadi yake asiende kuchinja.
 
nipo moro kwa sasa, kiukweli hali ni tofauti na miaka ya nyuma, urais ni lowassa, udiwan tunagawana kata ila ubunge abood atashinda lkn kwa kura chache
 
Ilula - Kilolo apa, Brian Kikoti anasubiri kuapishwa!

Huu n mkutano wake wa leo Ilula mtua
 

Attachments

  • 1445637397227.jpg
    1445637397227.jpg
    57.7 KB · Views: 107
  • 1445637490683.jpg
    1445637490683.jpg
    58.8 KB · Views: 103
Back
Top Bottom