yani unataka tuendelee kupritendi kuwa hili jambo ni dogo!!
Unajua nimerudi na kusoma nilichoandika na kukuta hakuna cha kubadilisha. Sijui ni kwanini baadhi ya watu wamefikiria nimesema aitishe kisasi! Na inaonekana watu wengi ambao wanakuja juu hawajasoma kwanini nimemtaja Oscar Romero.. wangechukua muda wangeona kuwa hii si mara ya kwanza kwa mimi kuitisha wachungaji/mapadre kufuata nyayo za Oscar Romero badala ya kukaa na kuenjoy sadaka za waumini na kulala kitanda kimoja na watawala...
Hiyo 'wrong' ya upande mwingine inapofanyika, umewahi kuikemea?TWO wrongs do not make it right...
wakuwa held responsible ni serikali.....na sio kila mtu akimbilie kwa viongozi wa dini yake
unapinga nini,na unafanya nini?
Sawa wao wamefunzwa hivyo lakini wakristo hawajafunzwa hivyo. Nitamshangaa sana Pengo akitoa tamko kama linavyodhaniwa. Anachotakiwa ni kugeuza shavu la pili
Hiyo 'wrong' ya upande mwingine inapofanyika, umewahi kuikemea?
Chochote wakachosema
bado jukumu la kukamata wahalifu na kuwapeleka mahakamani lipo kwa serikali....
Pengo sio Nyerere,yes ni sad Padri kauwawa but si kwamba waluiomuua huyo Padri wana
baraka za waislam wote wa TZ....sioni umuhimu wa Kauli za viongozi wa dini kwenye 'POLICE CASE'
Narudia tena hao waislamu wafanya ujinga wao huko huko ZNZ na kwa waoga Geita .. Wasithubutu kuingia A town itakula Kwao ... Nasema Hakuna rangi wataacha ona..
Mfululizo wa mauji na hujuma dhidi ya wakristo zimedhirisha serikali imeshindwa kuwalinda wakristo, kwahiyo siyo vibaya wakristo wakakimbilia kupata muongozo wa viongozi wao wa imani! They have lost faith on the government though they still have faith on the Country, on Tanzania!
Hiyo 'wrong' ya upande mwingine inapofanyika, umewahi kuikemea?
Nashangaa wengi humu wameshatuhumu kuwa huyo mchungaji wa kondoo kauliwa na Waislaam. Muuwaji anaweza kuwa wa dini yeyote ile, hata mchungaji mwenzie anaweza kumuuwa.
Isitoshe, kuna sababu za mtu kuuwa na au kuuliwa. Madudu mengi tuliyoyasikia duniani kwa hawa wachungaji hususan yale ya kuharibu watoto wadogo yanaweza yakapelekea mzazi mwenye hasira kuuwa.
Huyo anaejiita Mzee Mwanakijiji anaweza pia kuwa ndiye muuwaji na anakuja humu kwa shutuma na hamaki na kujifanya imemuuma sana ili kupoteza watu maboya.
Hili tukio inatakikana lifanyiwe uchunguzi wa kina na bila kutazamwa kwa mtazamo wa dini, linaweza linaweza kuwa ni mtego wa panya kuingiza walliokuwemo na wasiokuwemo.
Suspicion yangu kubwa iko katika mambo matatu:
- Moja ni biashara ya utalii na mahasimu wa Zanzibar wa hiyo biashara.
- Mbili ni "inside job" ya wenyewe kwa wenyewe huko kanisani.
- Tatu ni "revenge" ya uharibifu m'baya wa aina fulani.