Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,416
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,416 2,000
Mm sehem zangu za kizalendo utaziweza? Hakuna zile spesho offer za kulemnakoendaga watu wa Calibre Kama yako.
Du!, mimi huwezi amini, usibabaishwe na jina kubwa, mimi napiga sana menu za kwa mama lishe, nakula sana Feri, na vijiwe vyangu ni mitaa ya Sinza pale Rombo, Calabash, Kwa mama Kamche etc. siku ukisikia nimekwenda Triple 7, au Jackies, ujue kuna mtu namuingiza tuu king ili nipige pesa ndefu.
Saa hizi niiko mitaa ya Sinza. Check your PM.
P.
 
Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
5,483
Points
2,000

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
5,483 2,000
Leo Tena, nimemuona Mhe. Naibu Waziri akizumza Bungeni, kiukweli anapendezea, anazidi kung'ara, mwanzo akikuwa mweupe maji ya kunde maangavu, Sasa ni mweupe cheupe angavu, anazidi kupendezea na kutokelezea, akiendelea kwa mwendo huu, soon anaweza kabisa kugeuka mzungu.

Kama kuna watu wanatunza, kiukweli ni watunzaji, hongera zao.
P
We Msukuma bhana.....!!
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,416
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,416 2,000
Wanabodi, Ijumaa ni mwanzo wa week end, hivyo some light stuff ni nzuri, or hard stiff with a light touch.
Leo nimemuona tena mwana Jeiefu mwenzetu Naibu Waziri akitembelea kijiji cha Makumbusho amevaa tena gauni la rangi ya chanikiwiti, kiukweli sio tuu anaipenda rangi ya chanikiwiti, bali rangi ya chanikiwiti, inawatoa sana dada zetu waangavu, wamependezea sana na kutokelezea, tena mshono wenyewe wa gauni lenyewe, linaonyeshea dada yetu tayari...
Hongera mwana jf mwenzetu kwa hatua hiyo, umependezea na umetokelezea.
P
 
Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
5,483
Points
2,000

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
5,483 2,000
Leo nimemuona tena akitembelea kijiji cha Makumbusho amevaa tena gauni la rangi ya chanikiwiti, kiukweli amepemdeza sana na ametokelelea, tena mshono wenyewe wa gauni lenyewe, linaonyeshea tayari...
Hongera mwana jf mwenzetu kwa hatua hiyo, umependezea na umetokelezea.
P
We mzee bhana....
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,416
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,416 2,000
Wanabodi, Ijumaa ni mwanzo wa week end, hivyo some light stuff ni nzuri, or hard stiff with a light touch.
Leo nimemuona tena mwana Jeiefu mwenzetu Naibu Waziri akitembelea kijiji cha Makumbusho amevaa tena gauni la rangi ya chanikiwiti, kiukweli sio tuu anaipenda rangi ya chanikiwiti, bali rangi ya chanikiwiti, inawatoa sana dada zetu waangavu, wamependezea sana na kutokelezea, tena mshono wenyewe wa gauni lenyewe, linaonyeshea dada yetu tayari...
Hongera mwana jf mwenzetu kwa hatua hiyo, umependezea na umetokelezea.
P
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu, Bi Dada, ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
 
LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
6,650
Points
2,000

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
6,650 2,000
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
😂😂😅😂yani wewee hahah
Kila nikisoma hio chanikiwiti sina mbavu
Chanikiwiti ndo brown au ?.na udhurungi ni ipi?
 
Uttarra

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2019
Messages
260
Points
500

Uttarra

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2019
260 500
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Mkuu wake aliagiza tufyatue. Waziri mtiifu anafyatua kutimiza agizo.
 
impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
6,451
Points
2,000

impongo

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
6,451 2,000
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Maziwa ya ng'ombe
Tatizo ni umri mkubwa wanawake wengi hususan hawa maarufu wengi ni mashangingi wengi wao wanaamua kuzaa wakiwa na miaka 35 ambapo kwa matumizi ya kemikali nyingi wanazotumia kujiremba umri huo huwa wanaelekea kukoma kushika uzazi.
Sasa ikitokea akashika mimba huzaa kwa kufuatana kwa sababu akifika umri wa 38 ni ngumu kushika mimba
Hii inaitwa Double standard au two in one action
 
Anaitwa nani au yule wa habari na utamaduni?
 
LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
6,650
Points
2,000

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
6,650 2,000
Maziwa ya ng'ombe
Tatizo ni umri mkubwa wanawake wengi hususan hawa maarufu wengi ni mashangingi wengi wao wanaamua kuzaa wakiwa na miaka 35 ambapo kwa matumizi ya kemikali nyingi wanazotumia kujiremba umri huo huwa wanaelekea kukoma kushika uzazi.
Sasa ikitokea akashika mimba huzaa kwa kufuatana kwa sababu akifika umri wa 38 ni ngumu kushika mimba
Hii inaitwa Double standard au two in one action
Kuzaa azae mwingine tabu mpate nyie
Mnasaidia kulea?..
 
snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,950
Points
2,000

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,950 2,000
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Pascal Mayalla ujue we sio mzima!
ahahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahahahahhahaha dah!
nimecheka sana!
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,416
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,416 2,000
Pascal Mayalla ujue we sio mzima!
ahahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahahahahhahaha dah!
nimecheka sana!
Mkuu Snow White, naomba kukiri udhaifu, kwenye mambo fulani mimi sio mzima kabisa!, hasa kwenye maeneo ya ku notice notise, jicho langu linaona sana vitu vingi ila sivisemi vyote ninavyoona au kuvisikia.

Ila pia nina heshima sana, si umeona sijataja jina lolote.
P
 
ki2c

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2016
Messages
2,347
Points
2,000

ki2c

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2016
2,347 2,000
Mwanaume unajua hadi rangi za chanikiwiti?
Duuh! mi ninavyojua wanaume tuna colour blindness,mimi kwamfano najua rangi nyeupe,nyeusi,njano,bluu na kijani huwa nashindwa kuzitofautisha.
 
lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
19,962
Points
2,000

lusungo

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
19,962 2,000
CC @wakudadavuwa
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu, Bi Dada, ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,416
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,416 2,000
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu, Bi Dada, ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Habari njema kwa mwana jf huyu, leo amejifungua salama u salmini mtoto wa pili, this time ni kidume. Mtoto wa kwanza ni kibinti. Hongera mwana jf mwenzetu kujifungua salama.
Hii pia ni katika utekelezaji wa kauli ya rais Magufuli ya fyatueni watoto wa kutosha, nitawasomesha bure.
P.
 
Forum statistics

Threads 1,343,409
Members 515,033
Posts 32,783,815
Top