Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,416
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,416 2,000
Wana Jf,
Kwanza hii ni Friday night, hivyo mara moja moja let's socialize and take it easy with threads za light touch.

Declaration of Interest
Naomba kuanza hii thread kwa kukiri kuwa "the most powerful person on earth is a woman!", hata Adam, aliyefinywagwa na Mungu mwenyewe, akaambiwa na Mungu mwenyewe, "hiki usifanye", "usile tunda la mti wa katikati" "ukila utakufa!", lakini Adamu alipokuja kushawishiwa na mwanamke Eva, tule!, Adam alikula, na wote wakaangamia!. Hakuna any man strong enough anayeweza kushinda "the strength of a woman".

Hata mtu aliyeelezwa kuwa na nguvu kuliko binadamu wote aliitwa Samson, Nate na miguvu take yote was nothing mbele ya mwanamke mrembo Delilah, hivyo na mimi naomba kukiri kuwa, hata mimi, mbele ya wanawake, niko very weak, hivyo leo nimejikuta nalazimishwa kuangalia Wasafi TV, live ikonyesha birthday ya mnyange mlimbwende Wema Sepetu, ikitangazwa live kutoka Mlimani City, na nimelazimishwa kuangalia by non other than a woman!, kiukweli wanawake wana power na command!.

Hivyo katika kufuatilia sherehe hiyo, ndipo nikamuona mwana jf mwenzetu, ambaye ni Naibu Waziri akitinga kwenye red carpet, na kiukweli ametokelezea kwa kupendezea na gauni lake la rangi ya Chanikiwiti.

Jee kuna ubaya wowote, kumsifia mwana jf mwenzetu, ukimuona mahali ametokea na ametokelezea?.

Macho yameona, nimeamua kukiri amependezea!, hongera mwana jf mwenzetu na hilo gauni lako la Chanikiwiti.

Naomba msiniulize ni nani na wala msiulizie picha, wewe jua tuu ni mwana jf mwenzetu ambaye ni naibu waziri, amehudhuria hafla birthday ya mnyange mlimbwende Wema Sepetu, huku amevalia gaining lake la rangi ya Chanikiwiti, amependeza, ametokelezea.

Nawatakia Furahi Dei njema.

P.
 
Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
6,715
Points
2,000

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
6,715 2,000
Wana Jf,
Declaration of Interest
Naomba kuanza hii thread kwa kukiri kuwa "the most powerful person on earth is a woman!", hata Adam, aliyefinywagwa na Mungu mwenyewe, akaambiw na Mungu mwenyewe, "hiki usifanye", "usile tunda la mti wa katikati" "ukila utakufa!", lakini Adamu alipokuja kushawishiwa na Eva, tule!, Adam alikula, na wakaangamia!. Hakuna a man strong enough anayeweza kushinda "the strength of a woman", hivyo naomba kukiri kuwa mimi ni very weak kwa wanawake, hivyo leo nimejikuta nalazimishwa kuangalia Wasafi TV, live ikonyesha birthday ta Wema Sepetu live kutoka Mlimani City, na nimelazimishwa kuangalia by non other than a woman!, kiukweli wanawake wana power na command!.

Hivyo katika kufuatilia sherehe hiyo, ndipo nikamuona mwana jf mwenzetu, ambaye ni Naibu Waziri akitinga kwenye red carpet, na kiukweli ametokelezea kwa kupendezea na gauni lake la rangi ya Chanikiwiti.

Jee kuna ubaya wowote, kumsifia mwana jf mwenzetu, ukimuona mahali ametokea na ametokelezea?.

Macho yameona, nimeamua kukiri amependezea!, hongera mwana jf mwenzetu na hilo gauni la Chanikiwiti.

Naomba msiniulie nani na wala msiulizie picha, wewe jua tuu ni mwana jf mwenzetu ambaye ni naibu waziri.

P.
Kumbe mkuu na wewe ni mbea hivi?
 
Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
1,714
Points
2,000

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2011
1,714 2,000

Kwamba mkuu umemzimia Juliana Shonza basi sawa.
 
Nelson Mwombeki

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Messages
2,989
Points
2,000

Nelson Mwombeki

JF-Expert Member
Joined May 2, 2018
2,989 2,000
Wana Jf,
Declaration of Interest
Naomba kuanza hii thread kwa kukiri kuwa "the most powerful person on earth is a woman!", hata Adam, aliyefinywagwa na Mungu mwenyewe, akaambiw na Mungu mwenyewe, "hiki usifanye", "usile tunda la mti wa katikati" "ukila utakufa!", lakini Adamu alipokuja kushawishiwa na Eva, tule!, Adam alikula, na wakaangamia!. Hakuna a man strong enough anayeweza kushinda "the strength of a woman", hivyo naomba kukiri kuwa mimi ni very weak kwa wanawake, hivyo leo nimejikuta nalazimishwa kuangalia Wasafi TV, live ikonyesha birthday ta Wema Sepetu live kutoka Mlimani City, na nimelazimishwa kuangalia by non other than a woman!, kiukweli wanawake wana power na command!.

Hivyo katika kufuatilia sherehe hiyo, ndipo nikamuona mwana jf mwenzetu, ambaye ni Naibu Waziri akitinga kwenye red carpet, na kiukweli ametokelezea kwa kupendezea na gauni lake la rangi ya Chanikiwiti.

Jee kuna ubaya wowote, kumsifia mwana jf mwenzetu, ukimuona mahali ametokea na ametokelezea?.

Macho yameona, nimeamua kukiri amependezea!, hongera mwana jf mwenzetu na hilo gauni la Chanikiwiti.

Naomba msiniulie nani na wala msiulizie picha, wewe jua tuu ni mwana jf mwenzetu ambaye ni naibu waziri.

P.
Pole sana mkuu, sasa kwahiyo umemtumia na yeye kameseji umwambie nakuona hapa mkuu nakupa HY tu
 
mfianchi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
9,216
Points
2,000

mfianchi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
9,216 2,000
Wana Jf,
Declaration of Interest
Naomba kuanza hii thread kwa kukiri kuwa "the most powerful person on earth is a woman!", hata Adam, aliyefinywagwa na Mungu mwenyewe, akaambiw na Mungu mwenyewe, "hiki usifanye", "usile tunda la mti wa katikati" "ukila utakufa!", lakini Adamu alipokuja kushawishiwa na Eva, tule!, Adam alikula, na wakaangamia!. Hakuna a man strong enough anayeweza kushinda "the strength of a woman", hivyo naomba kukiri kuwa mimi ni very weak kwa wanawake, hivyo leo nimejikuta nalazimishwa kuangalia Wasafi TV, live ikonyesha birthday ta Wema Sepetu live kutoka Mlimani City, na nimelazimishwa kuangalia by non other than a woman!, kiukweli wanawake wana power na command!.

Hivyo katika kufuatilia sherehe hiyo, ndipo nikamuona mwana jf mwenzetu, ambaye ni Naibu Waziri akitinga kwenye red carpet, na kiukweli ametokelezea kwa kupendezea na gauni lake la rangi ya Chanikiwiti.

Jee kuna ubaya wowote, kumsifia mwana jf mwenzetu, ukimuona mahali ametokea na ametokelezea?.

Macho yameona, nimeamua kukiri amependezea!, hongera mwana jf mwenzetu na hilo gauni la Chanikiwiti.

Naomba msiniulie nani na wala msiulizie picha, wewe jua tuu ni mwana jf mwenzetu ambaye ni naibu waziri.

P.
Picha mkuu,habari bila picha inakuwa kama ushigongo
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
47,562
Points
2,000

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
47,562 2,000
Paskali Brother, naandika hii comments nikiwa na hasira sanaaaaa.

Wewe ni mkongwe na tunakuheshimu sana hapa JF na michango yako inaheshimika sana.

Ila thread za aina hii bila picha ni kama dera bila chura (@behaviorist) na inakuwa ni kanzu sasa.

Kwa hio nikuulize tu brother.

Ukipigwa ban utalaumu?

Tafadhali nenda kaweke picha pale juu

Ni hayo tu sina jingine.
 
Forum statistics

Threads 1,343,417
Members 515,055
Posts 32,784,108
Top