MwanaJF mwenzetu Money Stunna amefiwa na baba ake mzazi

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,875
3,099
Habari za jioni wadau wa JF,

Bila shaka wengi wetu mnamfahamu member mwenzetu aitwae Money Stunna, hivi karibuni amepatwa na msiba wa baba ake mzazi taratibu za mazishi zimeishafanyika, mengine anaweza wajulisha akipita hapa.

Mimi amenijulisha taarifa hii na ndio mana hata huku kwenye majukwaa haonekani kwa wingi. Anapitia wakati mgumu, thread hii ni kwa ajili yake, tumfariji katika kipindi hiki kigumu na kuomba Mungu awafariji mama ake na familia nzima kwa ujumla.

May his Soul Rest in Peace

Amen.

Pole sana Money Stunna.
 
ooh! Pole sana jembe
samahani badiebey
mazishi yatafanyika wapi, ikiwezekana nije ni,pe mkono wa pole ndugu yangu Money Stunna!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana rafiki yetu kipenzi, MUNGU aijalie wepesi wewe na familia yote kwa ujumla, tuko pamoja.
 
Mods waweke kitufe cha 'sorry' aisee. MONEYstuna mzee wa jukwaa la celeb pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom