Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Waandishi ni pasua kichwa, kunakazi nilishirikisha na wakaandika vinginevyo: nilichokaaaaaNdio uweledi wa waandishi wetu ulipofikia mkuu.
Waandishi ni pasua kichwa, kunakazi nilishirikisha na wakaandika vinginevyo: nilichokaaaaaNdio uweledi wa waandishi wetu ulipofikia mkuu.
Tena udongo ni udongo tu.... hata ufanyiwe mbwembwe na matangazo mwezi mzima... utashushwa udongoni, utavimbaa, utapasuka na kuoza juuu... na wale wadudu watakutafuna
Habari zenu nyote...! Rest In Peace Nelson Olotu.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapa pole familia ya Mzee Olotu iliyopoteza kijana wao mpendwa kwenye ajali ya ndege iliyotokea hivi majuzi hapa. Poleni sana wafiwa kwa kumpoteza ndugu yetu Nelson.
Lakini pia Nelson alikuwa ni mmoja kati ya mwanajamii mwenzetu hapa JamiiForums tangu mwaka 2013, hivyo basi wanajamii tunasikitika kumpoteza member mwenzetu akiwa bado anahitajika kwa kiasi kikubwa kabisa katika jamii yetu hii.
Nelson Olotu
www.jamiiforums.com
Nikiwa kama member mwenzake nachukua nafasi hii kwa niaba ya Uongozi mzima wa JamiiForums na kwa niaba ya members wote wa JF kutoa pole kwa familia ya wafiwa na tunawaombea MUNGU awatie nguvu sana katika kipindi hiki kigumu cha msiba. AMEN.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA NDUGU YETU NELSON OLOTU. AMEN.
Pia soma
Ndege yaanguka hifadhi ya Serengeti Tanzania, yaua wawili akiwepo mtoto wa CDF Jenerali Mabeyo
Ndege ndogo ya Shirika la Auric Air imepata ajali leo Jumatatu asubuhi Septemba 23, 2019 katika uwanja mdogo wa ndege eneo Seronera ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti nchini Tanzania. Ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi ambapo ilikuwa ikiruka kutoka Serengeti kwenda Arusha baada ya...www.jamiiforums.com
Tanzania hakuna umoja wala mshikamano. Unafiki umetujaa vifo vya marubani chipukizi Serengeti vinaakisi
Imagine, ajari ya ndege imeua wawili ila ndege ya serikali imebeba mwili wa mtu mmoja na mwengine atabebwa na ndege nyingine kwa uchunguzi zaidi, Vyombo vya habari na mitandao ya kijamii habari sasa imebadilika kutoka ajari ya ndege haki kua Mabeyo afiwa na mwanae na viongozi wanaenda kutoa...www.jamiiforums.com
Ni kweli ada zao zipo juu. Kwa kipato cha kawaida ni ngumu kutoboa.Hivi ni kwanini Marubani wengi nchini Tanzania ukifuatilia ' Background ' zao utakuta 99.9% wanatoka Familia za Kitajiri ( zinazojiweza Kiuchumi ) na siyo zile tutokazo akina An Eagle a.k.a Unga Robo Families? Kuna Mtu Mmoja nimemuuliza Ada ya chini kwa mwaka katika Vyuo vya Urubani kwa Afrika kaniambia ni Tsh 45 Milioni huku vile vya Ulaya / Marekani Ada yao huwa ni kati ya Tsh 90 Milioni hadi Tsh 120 Milioni kwa mwaka. Sasa sijui hapa aliniokota ( alinidanganya ) tu au labda alikuwa sahihi.
Na pia alishushwa jnia kama parcelNikikumbuka Mzee Mengi alirudishwa ndani ya BOKSI SEALED afu likashushwa na ile sijui ndio fokolift sijui nn ile.... Daaaah.... Nakubali kwa MUNGU HAKUNA MAJUNGU!
Ndugu kiongozi, pesa inachukua thamani ya utu, hii inaonesha wazi kwamba hakuna politician ambaye yuko na mwananchi mnyonge, yale maneno kusema wako na wanyonge yote ni uzandiki na unafiki, na kudhirisha hilo Mungu naye hua anawaumbua kama hivi, lakini embu ona pamoja na hayo uandikwe magazetini uwe na cheo , unaishia mavumbini.Too sad,rest in peace Nelson.
Ni kweli ada zao zipo juu. Kwa kipato cha kawaida ni ngumu kutoboa.