MwanaJF mwenzetu aliyefariki kwenye ajali ya Ndege, Nelson Olotu apumzike kwa amani

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
26,102
2,000
Nikikumbuka Mzee Mengi alirudishwa ndani ya BOKSI SEALED afu likashushwa na ile sijui ndio fokolift sijui nn ile.... Daaaah.... Nakubali kwa MUNGU HAKUNA MAJUNGU!
Tena udongo ni udongo tu.... hata ufanyiwe mbwembwe na matangazo mwezi mzima... utashushwa udongoni, utavimbaa, utapasuka na kuoza juuu... na wale wadudu watakutafuna
 

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Habari zenu nyote...! Rest In Peace Nelson Olotu.


Napenda kuchukua nafasi hii kuwapa pole familia ya Mzee Olotu iliyopoteza kijana wao mpendwa kwenye ajali ya ndege iliyotokea hivi majuzi hapa. Poleni sana wafiwa kwa kumpoteza ndugu yetu Nelson.


Lakini pia Nelson alikuwa ni mmoja kati ya mwanajamii mwenzetu hapa JamiiForums tangu mwaka 2013, hivyo basi wanajamii tunasikitika kumpoteza member mwenzetu akiwa bado anahitajika kwa kiasi kikubwa kabisa katika jamii yetu hii.


Nikiwa kama member mwenzake nachukua nafasi hii kwa niaba ya Uongozi mzima wa JamiiForums na kwa niaba ya members wote wa JF kutoa pole kwa familia ya wafiwa na tunawaombea MUNGU awatie nguvu sana katika kipindi hiki kigumu cha msiba. AMEN.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA NDUGU YETU NELSON OLOTU. AMEN.

Pia somaHivi ni kwanini Marubani wengi nchini Tanzania ukifuatilia ' Background ' zao utakuta 99.9% wanatoka Familia za Kitajiri ( zinazojiweza Kiuchumi ) na siyo zile tutokazo akina An Eagle a.k.a Unga Robo Families? Kuna Mtu Mmoja nimemuuliza Ada ya chini kwa mwaka katika Vyuo vya Urubani kwa Afrika kaniambia ni Tsh 45 Milioni huku vile vya Ulaya / Marekani Ada yao huwa ni kati ya Tsh 90 Milioni hadi Tsh 120 Milioni kwa mwaka. Sasa sijui hapa aliniokota ( alinidanganya ) tu au labda alikuwa sahihi.
 

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,235
2,000
Labda ndie alikuwa mkokotoaji mzuri wa mambo ya ndege,urubani,viwanja vya ndege na mambo mengine,kuna jamaa huwa anatiririka kiuweledi hasa yanapokuja mambo ya Aeroplane

Labda inawezekana mkuu...!
 

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,235
2,000
Nikikumbuka Mzee Mengi alirudishwa ndani ya BOKSI SEALED afu likashushwa na ile sijui ndio fokolift sijui nn ile.... Daaaah.... Nakubali kwa MUNGU HAKUNA MAJUNGU!

Mauti ni kitu hatari sana kiongozi. Acha kabisa.
 

Yamakagashi

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
8,637
2,000
Hivi ni vigezo gani vimetumika kusema hii ID ni ya marehemu ?
Hakuna kina Nelson Olotu wengine ?

Haya mambo hayapo Tanzania tu ,nani anakumbuka alivyokufa Paul Walker ? Kila mtu alikuwa R.I.P Paul wakasahau na marehemu mwingine ambaye alikuwa dereva
 

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,111
2,000
Hivi ni kwanini Marubani wengi nchini Tanzania ukifuatilia ' Background ' zao utakuta 99.9% wanatoka Familia za Kitajiri ( zinazojiweza Kiuchumi ) na siyo zile tutokazo akina An Eagle a.k.a Unga Robo Families? Kuna Mtu Mmoja nimemuuliza Ada ya chini kwa mwaka katika Vyuo vya Urubani kwa Afrika kaniambia ni Tsh 45 Milioni huku vile vya Ulaya / Marekani Ada yao huwa ni kati ya Tsh 90 Milioni hadi Tsh 120 Milioni kwa mwaka. Sasa sijui hapa aliniokota ( alinidanganya ) tu au labda alikuwa sahihi.
Ni kweli ada zao zipo juu. Kwa kipato cha kawaida ni ngumu kutoboa.
 

Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
13,179
2,000
Nikikumbuka Mzee Mengi alirudishwa ndani ya BOKSI SEALED afu likashushwa na ile sijui ndio fokolift sijui nn ile.... Daaaah.... Nakubali kwa MUNGU HAKUNA MAJUNGU!
Na pia alishushwa jnia kama parcel
 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
Too sad,rest in peace Nelson.
Ndugu kiongozi, pesa inachukua thamani ya utu, hii inaonesha wazi kwamba hakuna politician ambaye yuko na mwananchi mnyonge, yale maneno kusema wako na wanyonge yote ni uzandiki na unafiki, na kudhirisha hilo Mungu naye hua anawaumbua kama hivi, lakini embu ona pamoja na hayo uandikwe magazetini uwe na cheo , unaishia mavumbini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom