MwanaJF mwenzetu aliyefariki kwenye ajali ya Ndege, Nelson Olotu apumzike kwa amani

Sidhani kama moderators wamefuta chochote kwa hiyo ID ya Nelson kwasababu inaonesha amejoin march 1 2013 na last seen yake ni same date aliyojoin....inaonekana hakuwahi kupost/kuitumia hiyo ID
Screenshot_20190925-112340.png
 
Amezaliwa China huko sasa hivi baada ya miaka 16 China itaanza kunufaika nae sana huku alikuwa useless kwa sababu ya linchi letu ni useless kwa vijana
 
Sijakupata vyema kiongozi fafanua kidogo mkuu...
Amekufa Tanzania amezaliwa China.
Sasa China watanufaika na akili yake vilivyo huku gamboshi alikuwepo kuwepo tu maana taifa lenyewe hata halijui umuhimu wa watu kama hao
 
Mapumzike kwa amani wana wema wa mama Tanganyika. Mmeondoka mapema mno wakati ndipo mlikuwa mnachanua ili kulitumikia taifa. Kumbukumbu zenu zifanyike baraka na nguvu ya kuendelea pale mlipoishia😢
 
Amekufa Tanzania amezaliwa China.
Sasa China watanufaika na akili yake vilivyo huku gamboshi alikuwepo kuwepo tu maana taifa lenyewe hata halijui umuhimu wa watu kama hao

Oooh Owkay sasa hapo nimekupata vilivyo kiongozi wangu. Thanks a lot bro.
 
A na B yanaweza kuwa majibu pia my lovely.

Ila pia yaweza kuwa UONGOZI wa JF umeamua kufuta posts zake baada ya kufariki marehemu kutokana na sababu maalum mkuu.
Labda ndie alikuwa mkokotoaji mzuri wa mambo ya ndege,urubani,viwanja vya ndege na mambo mengine,kuna jamaa huwa anatiririka kiuweledi hasa yanapokuja mambo ya Aeroplane
 
Back
Top Bottom