MwanaJF Mdada (single)

MwanaJF Mdada (single)

SaidAlly

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
2,392
Reaction score
2,363
Kama kuna MwanaJF single, na mdada yupo Iringa jioni ya leo naomba aniPM tuende viwanja tukaselebuke esp. VIP Club.

Just to have fun na sivinginevyo plse, nsije shambuliwa hapa. WanaJF ni pamoja daima kwahiyo tukipata wasaa kufurahi pamoja sio mbaya.

Karibuni Warembo.
 
Malaria Sugu yupo Iringa, ni Mke wa mtu lakini kamwacha Dar. Mimi na FF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom