:israel::israel::israel::israel::israel: HUBBY WANGU NDIYE MICHUZI WA JF LOLEST! MWAHHHH!
Mkuu HYGEIA samahani camera yangu imeisha charge picha nlokupiga wakati unaandika hii thread ntaiweka kesho ntakapokuwa nimeicharge. Hata hivyo, ahsante kwa compliment. Am humbled!
Basi hiyo picha inayoandaliwa huko,
tutakomaje..!!
Hahah na wewe ile yako wakati unasokomezea glass ya bar kwenye handbag yako nitaiweka. Umeacha hiyo tabia ya kuiba glass bar?
:israel::israel::israel::israel::israel: HUBBY WANGU NDIYE MICHUZI WA JF LOLEST! MWAHHHH!
Unafanya nini huku saa hiz lov!!
Hahah misifa inalipa. Afu swali la kizushi.... eti Rejao huwa unalala saa ngapi?
Jamani jamani jamani ummu kulthum mbona unanionea? Mbona hata miti huwa naipiga picha?kwa kweli licha ya kuwa mwizi wa fadhila,mapenzi,yaaan wa kila kitu anaheshimu kazi yake kuphoto af najiuliza kwa nini 99.9%wawe ni mademu?babu Asprin ujui nakuonea huruma ooooh!