MwanaJF Huyu ni Kiboko kwa Utani wa kutumia Picha!

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,257
Huyu anaitwa Asprin au Babu Asprin. Anayo hifadhi kubwa ya picha za aina mbalimbali na anazitumia kumtania mtu pale anapoona inafaa. Mimi ni mmoja wa victim wa utani huo pale nilipojitokeza kwenye jukwaa hili la chitchat kueleza mahusiano yangu na dada mmoja nimpendae sana anayeitwa Erotica. Nilipomaliza maelezo yangu asprin akasema eti pamoja na yote, sijaeleza jinsi erotica anavyodeka. Kisha kaniwekea picha ya 'erotica mdekaji' ambayo ni hii hapa:

asprin -deko2.jpg

Nikaicheki picha hii ikabidi nicheke sana nikijua Asprin anapenda sana mzaha.
Utani wa Asprin haukuishia hapo. Akijua kabisa kwamba hanifahamu akaanza kunishangaa kwamba eti nitaendanaje na Erotica kwa kuwa nina resepshen za kiaina. Akatoa sura hii eti ndo mimi!

View attachment 61175
Katika hiyo thread yangu watu walichangia kamailivyo kawaida. Mmojawapo ni King'asti. Mara moja Asprin akamtokea na kumwuliza king'asti alikuwa alikuwa akienda wapi pamoja na rafiki yake@Yummy Asprin akarusha picha ya wadada wawili eti mmojawao ni King'asti na mwingine ni yummy Ione, ni hii

View attachment 61176View attachment 61176 (samahani imetoka dabo)

Ajabu hakusema King'asti au Yummy ni wa kulia au kushoto.

Kinachonistaabisha ni:Hizo picha anazipataje kwa haraka na kwa kuendana na mada iliyo jamvini.
Huyo ni Asprin. Ananikosha si haba!
 
Last edited by a moderator:
Hahah na wewe ile yako wakati unasokomezea glass ya bar kwenye handbag yako nitaiweka. Umeacha hiyo tabia ya kuiba glass bar?

Asprin utani wa kweli huo,umenikumbusha mbali sana.
Wahudumu wa Fyatanga bar na Violla club walikuwa wanakoma kwa jinsi nilivyokuwa nawachukulia glass.
Aisee ma-handbag haya yangekuwa na vioo,asingepona mtu wallah tena!!
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli licha ya kuwa mwizi wa fadhila,mapenzi,yaaan wa kila kitu anaheshimu kazi yake kuphoto af najiuliza kwa nini 99.9%wawe ni mademu?babu Asprin ujui nakuonea huruma ooooh!
 
Last edited by a moderator:
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom