kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Mtambuzi, Lara 1, Heaven on Earth, Madame B, Evelyne salt, Mzizi mkavu, TANMO, Nyani Ngabu, Kongosho, DEMBA, Kingasiti, Bujibuji , List ni ndefu
HHHK, Mzizi Mkavu,Madame B! Ntunzu, Y.Nyerere,Mwanakijiji, Kongosho, Heaven on Earth, Bulldog, Makame, OLESAIDIMU,Watu8.........
WanaJF naomba tubainishe ni nani unakubali hoja zake humu jukwaani. Tuchangie bila kujali itikadi za kisiasa.
WanaJF naomba tubainishe ni nani unakubali hoja zake humu jukwaani. Tuchangie bila kujali itikadi za kisiasa.
Sijaelewa!
WanaJF naomba tubainishe ni nani unakubali hoja zake humu jukwaani. Tuchangie bila kujali itikadi za kisiasa.
Sio muelewa! Na sijaelewa' umeelewa wewe muelewa. Nieleweshe tafadhari!
Furahia jina lako kama limeandikwa mbinguni pekee ya duniani yanapita kama upepo. Furahia siku zote ukipandishwa juu na Mungu, sifa za mwanadamu zina sababu akiamua muda wowote atakushusha chini.mambo ya kujuana tu mkuu yametawala hapo wala usipate hasira! watu wametaja mademu zao,wanachama wenzao,maclassmates wao,madada zao,wafanyakazi wenzao,etc. so take it easy!
kama sio muelewa why wasting my precious time
Za Zyamwelele comments pia ni mwana Jf
wivu au? utajibebaKanini uwataje na wakati unajua list ni ndefu? Unafki tu!