MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

wazee wa chitchat mnatajana tu,yani ben saanane na mwanakijiji hawatajwi..dah

kweli wazee wa CHITCHAT wabaguzi.. yaninmtu kama mwanakijiji, nguruvi3, pasco, kiranga, ben saanane hata hawawataji wao watajana wenyewe tu..
 
nyumbakubwa-huyu anaongea kama mwanamke kamili aliyekamilika,wanaume wote wangependa kuwa na mke wa mtizamo wake,
gezaulole-anavyowakimbiza wakenya na majivuno yao utampenda,
nyani ngabu na kiranga-hawa ni mabingwa wa kusimamia misimamo yao,hawatikisiki ktk kutetea hoja zao na wanachokiamini,
kaunga na ashadii-wadada wenye staha,wana busara za kweli na hakika,kuna wakati natamani ningekuwa nafahamiana nao in the real world sio ki-jf,
asprin-anapenda sana kukagua vibinti vinapoingia jf,siku hizi ananichekesha sana na mikwara yake ya kubadili dini,hata hapa anaweza kuja na kusema nisingemtaja angebadili dini!lol,
the boss-huyu jamaa yeye ni mfalme wa kuongea maneno ambayo wanawake wanapenda kusikia,huyu jamaa ktk dunia ya kweli atakuwa hataree sana kwa wadada,
nzi-shabiki nguli wa man utd,watu wote watakimbia uzi wa man utd yeye atabaki pale daima
emt-jamaa ukisoma hoja zake utafikiri unasoma kitabu cha kitaaluma,nakukubali sana bro
mzizimkavu-amejaa maarifa mengimengi ya kila aina kila pande

Siku hizi nabadili kabila. Nimestukia dini zote hazina nia njema na mimi. Zote zinapenda njia kuu wakati mie ni muumini wa michepuko.

Michepuko na bia kwa wingi ndo mpango mzima wa mjini. Jembe kwake kijijini.

Ahsante kwa kuukubali ugret thinka wangu, Siku ukimwoza mwanao niite nije nimwagie manasaha yaliyogradyueti setifiketi ya VETA
 
Hapa kuna Makundi mawili .. ! Wa CDM watawataja CDM wenzao na Wa CCM watawataja CCM wenzao . !
 
hahaaa
hawajanitaja mkuu wangu daaahh.. sijui kwa vile huwa siji kwenye mambo ya kikubwa na chitchat

Huko unakoenda hakuna hata mwanadamu mmoja aliyekutaja? Tema mate niwachape.
 
Siku hizi nabadili kabila. Nimestukia dini zote hazina nia njema na mimi. Zote zinapenda njia kuu wakati mie ni muumini wa michepuko.

Michepuko na bia kwa wingi ndo mpango mzima wa mjini. Jembe kwake kijijini.

Ahsante kwa kuukubali ugret thinka wangu, Siku ukimwoza mwanao niite nije nimwagie manasaha yaliyogradyueti setifiketi ya VETA

Hapa vipi tena babu, KUWADI KUWA KUNGWI!??
 
hakuna cha wa kwanza wala wa mwisho huko mbinguni kwani kila mmoja atapewa talanta yake kwa ujira wake
Usiogope hata mbinguni wa kwanza atakuwa wa mwisho na wamwisho atakuwa wa kwanza.
 
Jmn huwa nampenda sn na kumkubali faizafoxy hasa pale anavyowakiana na mtu anaejifanya anajua. Lzm uombe poo! Lkn pia comment zake. Respect bidada.
 
Ni weng but CHAZA namkubali sana ni miongon mwa watu waelewa sana katika upembuz wa kina wa hoja za watu.salut kwako mkuu.
 

Makamee, Faiza Foxy,Kahtaan,Tyta(mzee Wa picha)Mahmood,The boss,Excel


nazikubali post za Mentor Ntuzu Mtambuzi watu8 Kiranga lara 1 Arusha one @ lady doctor charming lady mwallu Asprin Mzizi mkavu Malaika mimi Munkari Heaven on Earth Karucee miss chagga MONEY stuna badiebey Kaunga tayta mzee wa mapicha
mwisho kabisa namkubali binti anaekwenda na jina la neddy

Nadhani Tyta ndo mwalimu mkuu.

MY DEEP APPRECIATION TO ALL WAPENDA ''USHAHIDI WA PICHA''................NA WALE WOTE WALIOTOA COMMENT(REGARDLESS) HAPA

[h=3]Appreciation: Napenda sana uwepo wa Tyta dunian[/h]ALL I HAVE TO SAY IS.............
1130_323893484387639_1125766209_n.png
 
Back
Top Bottom