Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Ewaaaaa.... kikazi. Orayt... kazi ya chama au kazi binafsi. Mi nna wivu kama Mugabe.Uwiiiiiii ndio maana nimesema nikifika home nitulize akili niwakumbuke wote maana ni lawama hizo.
Safari ya kikazi mkuu.