Mkuu utafiti mimi na Kibo10 tulikutana na balaa ikabidi mpaka comments tufute aise maana ni noma.
Halafu uliniambia utakuja pm kuna issue nzuri mbona hukuja tena. Njoo bana nikupe na hii habari mbaya niliyokutana nayo
Hahaha..achana na huyu jamaa mkuu kwao kuna vita wanaibiana na kutoana roho kwa nokia janeza
Wewe mtafute ndugu yetu Mr Rocky kakutana na balaa + nukusi leo atakuambia hata kwenye PM au live!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.