Mwanajeshi wa Uganda awaua wenzake watatu Nchini Somalia

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Tukio hilo limehusisha Mwanajeshi wa Uganda walio Mogadishu chini ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika ambapo tukio ufyatuaji risasi ulitokea makao makuu ya kikosi cha jeshi la Uganda.

Inaelezwa mtuhumiwa alivamia na kumpiga risasi mwanajeshi wa kwanza kifuani, hiyo ikasababisha taharuki wengine wakajua kambi yao imevamiwa, wa pili akapigwa risasi tatu kichwani na watatu alipigwa risasi ya mgongoni.

Mtuhumiwa alidhibitiwa na yupo chini ya ulinzi wakati uchunguzi ukiendelea kubaini chanzo. Mwaka 2019 kulitokea tukio kama hilo baada ya Mwanajeshi wa Uganda kumuua mwenzake kisha naye kujiua kwa risasi.

==========

Ugandan soldier kills three colleagues in Somalia

Investigations have started into the circumstances in which a Uganda soldier under the African Union Transition Mission in Somalia (Atmis) shot three of his colleagues dead in Mogadishu on Monday morning.

The shooting took place at the headquarters of the Ugandan army contingent.

The spokesperson of the Ugandan army, Felix Kulaigye, confirmed the incident to the BBC and the arrest of the soldier.

He is said to have gone on a rampage and shot his first victim in the chest.

Other soldiers initially thought that their base had come under attack.

The second victim was shot three times in the head as he tried to find out what was happening. A third soldier was shot in the back as he tried to run away.

The shooting only stopped when an officer tiptoed and disarmed the shooter.

This is the first incident in several years in Somalia involving Ugandan soldiers.

A similar incident happened in 2019 when a Ugandan captain killed himself after shooting a colleague dead.

Source: BBC
 
Depression mbaya sana
Kama wanaona mjeda hayuko sawa ni kumrudisha tu ila jeshini ni ubabe mwingi sana wa kijinga wanaona kama sisi ni robot hatuna hisia


Waliopita jeshi na kuingia vitani watanielewa
 
Back
Top Bottom