Mwanajeshi wa JWTZ achezea Kipigo cha Trafic Tabata

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Leo nilitembelea maeneo ya Tabata kwa mwanangu, wakati narudi kwangu kule Kigamboni , ghafla kufilka pale wanapoita Tabata reli Trafiki Police alisimamisha magari ya upande mmoja ilikuokoa jahazi la magari yanayotoka Buguruni, sasa Gari la mwanajeshi likawa limekumbwa na kizaazaa cha kusimamishwa, mwanajeshi yule ana cheo cha staff sajenti alimvaa Police kwa kejeli na matusi. Trafic akamjibu tuheshimiane lakini mjeshi akaendelea kumtusi askari yule mwenye cheo cha Copro, kama mzaa mwanajeshi akamkwida Uniform , hahahahaaaah Police hakukubali dharau ile, akampiga Mtama mwanajeshi yule, alipoinuka akapigwa Gumi la kuushoto, baada kama ya Dakika 5, MWANAJESHI HOI, ashukuru Mungu jamaa wenye mabucha na askari Police wengine walikuja kuingilia ugomvi ule.
Hakuna dereva wala konda wa daladala alietamani Ugomvi ule uishe, ila jambo lililosisimua na aina ya Ngumi za yuleTrafic dhidi ya Mwanajeshi yule

mjeda kakutana na kiboko yake....nao wamezidi saa ingine......lakini kilio kwa yangeyange....mbona ndio kumekucha......bakabaka...yangeyange....yangeyange....bakabaka....he he

Namwonea huruma saaana huyo traffic, labda ahamishwe leo leo. Kibano cha revenge atakula mwingine hata hivyo.

Hao wakivaa yale magwanda hujiona kama ni miungu watu.

Na ndio kama hayo yanawakumba wana cdm kwa sasa wakivaa magwanda yao, aaahhhh basi wao ni miungu watu, tayari nchi yao. Wakiingia na humu JF kupigana porojo za wao kwa wao ooohhh tayari nchi ni yao na wengine wote hawana akili.

Namwonea huruma saaana huyo traffic, labda ahamishwe leo leo. Kibano cha revenge atakula mwingine hata hivyo.

lakini kwanini Madereva na makonda walifurahi mjeshi JwTZ KUPIGWA ? Sielewi.

Hao wakivaa yale magwanda hujiona kama ni miungu watu.

Na ndio kama hayo yanawakumba wana cdm kwa sasa wakivaa magwanda yao, aaahhhh basi wao ni miungu watu, tayari nchi yao. Wakiingia na humu JF kupigana porojo za wao kwa wao ooohhh tayari nchi ni yao na wengine wote hawana akili.

1. Upo nje ya mada
2. Lile vazi la cdm sio gwanda bali ni vazi la chama kama magamba wanavyovaa yale yakwao ya kijani kama mavi ya mtu aliyekula parachichi likamdhuru

Hao wakivaa yale magwanda hujiona kama ni miungu watu.

Na ndio kama hayo yanawakumba wana cdm kwa sasa wakivaa magwanda yao, aaahhhh basi wao ni miungu watu, tayari nchi yao. Wakiingia na humu JF kupigana porojo za wao kwa wao ooohhh tayari nchi ni yao na wengine wote hawana akili.

Yakheee vipiii, mbona watuchanganyia habariii!

Hata picha angalau! Kwn yaelekea yule Mwanajeshi alikuwa kaweka konyagi mwilini. Picha tupe Mkubwa!

SAFIII. Ila inasikitisha sana kuona wachangiaji wengi humu bado wanawaona vijana wetu wa JW kama miungu watu. TUBADILIKE. Wanachowazidi raia ni UMOJA tu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom