CUF Ngangari
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 273
- 51
wacha apigwe tatizo lao ni waonezi, hasa wakivaa magwanda yao hayo ya mabaka mabaka, na hawa cdm nao ni hivyo hivyo wakishava magwanda yao mabega juu hawataki kutii sheria za nchi ipo siku watauvaa mkenge watachezea kisago cha mbwa mwizi.