Mwanajeshi jirani yangu anachati na mwanamke wangu

Mke mwenyewe sasa

ebony_bbw_theoner-20240109-0008.jpg
 
Nyie ndio mnasababisha kataa ndoa wapate nguvu
 
Wakuu mmepigaje hapo siku ya leo? Hakika na kweli wanawake ni kiboko mamba akapige shule.
zimepta siku 2 simu ya mwanamke wangu ipo kwa fundi wkt simu yake ipo kwa fundi nilichukua line yake nikaweka kwenye simu yangu ili akitafutwa na ndugu zake wasimkose hewani, sasa jana mchana ikaingia sms inasalimia mambo kwny line yake sikujibu niliporudi home nikampa cm ampigie huyo aliyemsalimia mi nikawa busy na mambo yangu.

Japo nilisikia wanaongea ila sikuskiliza, sasa usiku niliamua kumchatishahuyo mtu maana nilijua ni mwanaume huku nikjidai ndiye muhuska aliyemsalimia mambo yule jamaa akasema kuna rafiki yake mjeda mwenzie anataka namba ya rafiki yake na mwanamke wangu nikamwambia usijiali taitafuta

Mara jamaa anamuuliza mwanamke wangu kama mi nipo, nikajibu hayupo mjeda akampa angalizo kwamba kila sms wanayochati awe anaifuta kwani atapigwa basi tulichat mambo mengi mpaka jamaa anamwambia mwanamke wangu eti awe makini nisjestuka ye anakula tamu yangu na akamwambia yupo Dom atarudi siku si nyingi.

JE WAKUU NICHUKUE HATUA GANI AU NIENDELEE PELELEZA AU NIMPANDIE HEWANI MJEDA?
Hizo ni Red Flags Bablaii unazusubiri ushauri tena?
 
Mkuu are you serious??mpaka unaambiwa utaliwa utamu na mwanaume mwenzio wewe upo tu kuchatishana au umeshaingia laini nn?Haya mambo mengine ni ya kimaku kinoma tushasema msishikiane cm hamsikii Sasa huyo njagu akija kukupakua mbolea utamlaumu nani?
 
Mtumie mkeo huu uzi asome
 
Wakuu mmepigaje hapo siku ya leo? Hakika na kweli wanawake ni kiboko mamba akapige shule.
zimepta siku 2 simu ya mwanamke wangu ipo kwa fundi wkt simu yake ipo kwa fundi nilichukua line yake nikaweka kwenye simu yangu ili akitafutwa na ndugu zake wasimkose hewani, sasa jana mchana ikaingia sms inasalimia mambo kwny line yake sikujibu niliporudi home nikampa cm ampigie huyo aliyemsalimia mi nikawa busy na mambo yangu.

Japo nilisikia wanaongea ila sikuskiliza, sasa usiku niliamua kumchatishahuyo mtu maana nilijua ni mwanaume huku nikjidai ndiye muhuska aliyemsalimia mambo yule jamaa akasema kuna rafiki yake mjeda mwenzie anataka namba ya rafiki yake na mwanamke wangu nikamwambia usijiali taitafuta

Mara jamaa anamuuliza mwanamke wangu kama mi nipo, nikajibu hayupo mjeda akampa angalizo kwamba kila sms wanayochati awe anaifuta kwani atapigwa basi tulichat mambo mengi mpaka jamaa anamwambia mwanamke wangu eti awe makini nisjestuka ye anakula tamu yangu na akamwambia yupo Dom atarudi siku si nyingi.

JE WAKUU NICHUKUE HATUA GANI AU NIENDELEE PELELEZA AU NIMPANDIE HEWANI MJEDA?
Aisee..una umri gani ndugu yangu?
 
Sikiliza labda awe demu, lakini mke mke mke!! Hakuna cha brigadier wala nani tako liliwe tu , na kama ukitaka busara kabisa achana nae mwanamke msaliti hasamehewi
 
Back
Top Bottom