Usiku wa kuamkia leo,mwanajeshi ambaye jina bado halijapatikana,amewapiga vijana kadhaa risasi,watatu wakiwa marehemu hadi sasa wakati wengine watano wakiwa mahututi hospitalini.
Tukio hili limetokea maeneo ya Kigogo Check point maeneo ya Pugu,vijana hao walikuwa wakisherekea mwaka mpya kwa style ya kurukia magari,kugonga body za magari na kuchoma matairi.Mjeshi huyo akiwa na familia yake ndani ya gari aina ya Rav4,vijana walianza kuvamia gari lake kwa fujo na kugonga bodi,hata alipowasii kwa ishara waache wanachokifanya walizidi kuendelea,kwake alidhani ni vibaka au majambazi;basi aliwamiminia risasi na kuua watatu na wengine wanne ni majeruhi.
Mjeshi alijipeleka ktk kituo cha Sitaki Shari-Ukonga,na uchunguzi unaendelea.hivi ndivyo mwaka mpya tulivyoupokea huku maeneo ya Pugu Kigogo.
kumbe yupo sawa,tujifunze kusherehekea vizuri sio kufanyia watu fujohabari ya kusikitisha sana but sasa hao nao ndo walikuwa wanasherehekeaje hivyo?kwanini uende ukaharibu cha mtu kwa furaha yako mwenyewe?kama aliwastahi kiasi hicho hadi pale alipodhani ni majambazi mi nampa big up sana mjeshi.EVERY MAN IN THIS WORLD HAS A RIGHT TO PUT FOR HIS OWN DEFENCE.IT IS CRIME AGAINST THE LAW NOT DEFENDING YOURSELF
kumbe yupo sawa,tujifunze kusherehekea vizuri sio kufanyia watu fujo
Wamejitakia wenyewe hao vijana, kuna nafasi kubwa huyo mwanajeshi akaachiwa huru...
Kwani hao vijana walikuwa na silaha? Kwa nini hakuita polisi wawakamate? Hata hivyo siyo vizuri kumfanyia masihara mtu usiyemfahamu.
wapumzike kwa amanini kweli kabisa mkuu,kuua ni dhambi na ni kosa kubwa sana but kama utaua for your own defence kwa imani yangu ya ukristu hiyo siyo dhambi kabisa.ni kama vile ambavyo jambazi kakuvamia home we ukamuwahi na kitu cha ufoo saro...haina dhambi hiyo.