matongo manawa
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 336
- 79
Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za bia sehemu ya haja kubwa na ndogo na
kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama.
Mwanamke huyo akiongea na shuhuda alieleza kuwa kabla ya kufanyiwa ukatili huo alipigwa na mkanda wa jeshi na kuambiwa hata akienda wapi hatafanywa chochote,
Mwanamke huyo aliyejeruhiwa vibaya anajitibia nyumbani kwao kutokana na kutishwa kuwa akienda polisi atakiona cha moto.
Mwathirika wa tukio hili.Ndo kaeleza mkasa wote.source na ushahidi tafadhali
Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za bia sehemu ya haja kubwa na ndogo na
kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama.
Mwanamke huyo akiongea na shuhuda alieleza kuwa kabla ya kufanyiwa ukatili huo alipigwa na mkanda wa jeshi na kuambiwa hata akienda wapi hatafanywa chochote,
Mwanamke huyo aliyejeruhiwa vibaya anajitibia nyumbani kwao kutokana na kutishwa kuwa akienda polisi atakiona cha moto.
Mkuu mwongoze apeleke malalamiko yake kwenye sehemu zinazohusika eg wanasheria, vyombo vya habari, polisi nk. Wanaouliza mambo ya picha achana nao, ni jamii ya mamba wala watu huku machozi yakiwatoka.Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za bia sehemu ya haja kubwa na ndogo na
kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama.
Mwanamke huyo akiongea na shuhuda alieleza kuwa kabla ya kufanyiwa ukatili huo alipigwa na mkanda wa jeshi na kuambiwa hata akienda wapi hatafanywa chochote,
Mwanamke huyo aliyejeruhiwa vibaya anajitibia nyumbani kwao kutokana na kutishwa kuwa akienda polisi atakiona cha moto.
Mwanajeshi gani? Polisi, Mgambo, JW, KMKM, Magereza, au???? Kamilisha habari lete na hizo picha alizopigwa, vinginevyo inakuwa kama majungu aun Jicho la Ng'ombe
Mwathirika wa tukio hili.Ndo kaeleza mkasa wote.
Sababu ilikuwa ni nini hata amfayie hivyo?? Muulize kisha utujuze mkuu.
Labda huyo mwanamke alikula vya njemba kisha kalala kona.
Amepitwa na usemi "KULA na KULIPA NDIO MTINDO WA KISASA
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Mkuu nikiangalia umri wako humu jamvini nakuona km unajivunjia heshima wewe bado unanuka Maziwa mdomoni nimeanza kuandika hapa kabla yako na wala sihitaji ww unione najua kuandika tafadhari panuka kifikira.Nimeleta taarifa inayogusa jamii unataka ushahidi mimi si wakili wala mwanaharakati unataka huyo dada anivulie nguoanionyeshe alipoingiziwa chupa?na chupa zitakuwa zimebaki hapohapo?Lakini kulileta hapa jamvini ni hatua ya kupata msaada,Kwa faida yako hapa jamvini tunakuza fikra na si kudunisha na kutokwa povu bila sababu karibu ukuze fikira.Inawezekana ikawa ni habari ya kubuni, ili wana JF tuone umejua kuandika. Kama kweli amekuelezea hayo wewe kwanini usimsaidie kumpeleka ktk vyombo vya sheria? Una ushahidi gani wa kitendo hicho, Je amekuonyesha hicho alichofanyiwa? Hakuna aliyejuu ya sheria, msaidie ili hatua za kufaa ziweze kuchukuliwa kama ni ukweli.