Alex Manonga
Senior Member
- Oct 8, 2010
- 155
- 86
Hii itakuwa imeingia kwenye historia kama moja ya kesi zilizochukua muda mfupi tangu tukio, kukamatwa, upelelezi, mashitaka, kusikilizwa shauri, hadi kutolewa hukumu. Hii sio kawaida kwa nchi hii. I agree something must be fishy.
Ukikiri kosa kesi inaishia hapo! Inabaki uamuzi wa Hakimu tu. Yule alikiri kosa akala miaka yake palepale! Mipaka lazima iwepo!