JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 499
Mmmhhh...mbona umeichangamkia sana hii? Lol...
Nyani Ngabu mbona hivyo????????
Mmmhhh...mbona umeichangamkia sana hii? Lol...
............Huyu mama namsifu anajua kujichanganya sana na watu.
Kama kweli unaenda USA, nenda ukawasaidie wafungue matawi ya CCM kama ulivyoweza kusambaza UK.
Kwa hiyo kazi yake kubwa ilikuwa ni kusimamia Chama ama Serikali?.Je Uk alikuwa anawawakilisha wana CCM au Watanzania wote bila kujali chama?.Je hakuna wanaupinzani Uk waliohitaji huduma yake?.Basi kama alikuwa akisimamia chama basi hafai kuwa Balozi.
Nawakilisha
G.T upo hapo? Unakumbuka nilikwambia nini?
Hongera mama Mwanaid Maajar!!! Ni mtu safi kwa utendaji!!!
Kwa wale wanaojua government workings aliyefungua hii thread hata kama ilikuwa ni kwa nia njema basi ajue kalikoroga,Serikali huwa hazipendi mtu kuzi jumpstart.Wadau mnakumbuka yaliyomkuta Balozi Juma Mwapachu enzi za Mzee Mkapa baada ya gazeti la Rai kudokeza uteuzi wake?
Hata mimi nakubali Her Excellency Maajar is an astute diplomat and a learned lady. No doubt. Even the husband Sharif Maajar is a brilliant person. Hana makuu wala mbwembwe mmanyema yule
Uteuzi wa EL, Pinda was predicted na kweli waliteuliwa shida juuu ya nini?
So sick buddy! JT is costing us with his dic k....Nadhani ni strategies za kuboresha mahusiano kwa faida ya Tanzania. Mama Kichwa sana UK ilikuwa haijawahi kuwa na muwakilishi makini mwenye kutetea maslahi ya nchi yake. Ubalozi wetu UK ameubadili sana hata attitude za watendaji pale.
iangalie tawla ya sasa baada ya mh.majar kuiacha!!!! Aibu tupu org haina nuru , majungu kwenda mbele na sasa haina mwenyewe kabisa!!! Shame on you ladies baaada ya mwanaidi sinare majar- huyu mama amekuwa akitaka kurudi nyumbani kulifufua shirika lake la sheria kwa muda mrefu sana sasa, nijuavyo ni kwamba yuko matayarishoni kurudi nyumbani bongo kwenye shirika lake la sheria na wala sio siri among the tops, maana huwa hafichi akiwa na wakulu in private!
- sefue is doing a great job kule haendi kokote ni dua la kuku tu!
Respect.
fmes!
Mmmhhh...mbona umeichangamkia sana hii? Lol...