Mwanaharakati huru "Mdomo umekiponza kichwa"

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Hakika leo ndio nimeamini MDOMO UMEKIPONZA KICHWA

Mwanaharakati Huru Aliutumia MDOMO wake Kutukana Watu bila kujali Umri na Madaraka Waliyowahi kushika

Mwanaharakati Huru Alijiamini KUPITA KIASI kumbe Kujiamini kule kulikuwa kwa KUMTEGEMEA MTU

Mwanaharakati ANAVUNA ALICHOPANDA

Bado BASHITE nae DAWA INACHEMSHWA

20211029_104737.jpg
 
Mwanaharakati huru alikua ananiudhi kinyama kiasi nikaanza kupata kinyaa!!

Ila nlijua muda utazungumza
 

Yer 17:5-7 SUV​

BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu. Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom