Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

Kipindi hiki sisi matajiri wa kuweka watu Mizukule tuna raha sana. Yaani unauwezo wa kuwaweka hata wanne kwa pamoja na kusingizia Corona. Pia hata kwenye kuzika, mnazika wauaji tupu na hamsitukiwi.

Sent using Smartika kitochi
Kuna kitu umekisema hapa, kama vile nimekuelewa vizuri! Dah
 
Unapoteza machozi yako owa hili jiwe lisilokua na feelings na watu wengine ila pesa ovyo kabisA
 
Kumbe bado tuna vichwa vilivyobaki. Hongera sana dada. Tukiwa na watz kumi tu wanaoweza kuandika kwa umahiri hivi hata mawe yatasikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..swadakta.

..actually " mabaharia " na " abiria " wanapaswa kumtosa " nahodha ".

..nahodha akiachwa anaweza kusababisha chombo kikapiga dafrau / mweleka.
 
..swadakta.

..actually " mabaharia " na " abiria " wanapaswa kumtosa " nahodha ".

..nahodha akiachwa anaweza kusababisha chombo kikapiga dafrau / mweleka.
Atoswe baharini kama alivyotoswa Yona alipikataa kwenda Ninawi
 
..swadakta.

..actually " mabaharia " na " abiria " wanapaswa kumtosa " nahodha ".

..nahodha akiachwa anaweza kusababisha chombo kikapiga dafrau / mweleka.
Seriously, mkuu JokaKuu.

Wewe na baadhi, (wachache waliobaki humu Jukwaani) nimekufahamu kwa muda mrefu humu JF.

Nitawashangaa sana waTanzania wenzangu, watakapopata nafasi ya kuchagua viongozi wao hapo Oktoba, hata kama ikiwa kwa mbinde, wajitokeze na kuwachagua hawa waliopo sasa. Nitashangaa sana.
 
Tupate jibu kutoka kwa mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udini na ukabila!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…