Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa anadaiwa kumshinikiza Rais JK amrejeshe katika baraza la mawaziri,imefahamika.Lowassa ameomba kupatiwa nafasi ya kuongoza wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa,wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa,au wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa.Habari zilizothibitishwa na mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu katika chama cha mapinduzi (CCM) na ambaye yuko karibu na rais JK na Lowassa ,zinasema shinikizo la lowassa limekuwa kubwa kiasi ambacho linaweka rais njiapanda.
Source 🙁Mwanahalisi,Novemba 17-23,2010,pp.1-6 )
My take:
Duh!hivi huyu lowassa anataka nini jamani?mbona ametuganda kama ruba!!
anataka kujiandaa kuwa presido 2015 kupitia sisiem
Mungu atunusuru, huyo Lowasa ni mtu wa Hatari kuliko tunavyodhani. JK akithubutu kumpa wizara mtasikiliza huo mziki. Ni mtu asiye na chembe ya huruma kwa hii nchi, RICHMOND ilikuwa intro, sasa amehakikisha anarudi bungeni na ata dictate kupata huo uwaziri alafu ...........:bowl:Kwani ili kufanikiwa kuwa rais 2015 ni lazima kwa sasa ashike nyadhifa ya uwaziri ,tena katika mojawapo ya hizo wizara?au ana lake jambo?
You are so much divided to fight with an enemy! You are too many to unity. They are very fewer but they are effective, united and much more stronger. They deeply think and act, you simply talk the acts!
The winning group will be the one which is well united with great thinking and strategies. Hundred words cant stop the bulldozer to proceed. If you cant keep your secrecy the group can. If you talk the inside you uncover the actions, you are the one and no one to blame!
God Bless Tanzania!!
me i think in a different perspective, i think this man can make an impact he is a strong leader tatizo lilikua RICHMOND
Wizara ya mambo ya nje nimesikia tetesi hizo toka january kwamba watampa, lets wait and see:nono::nono::nono::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
I don't think you know JK. He is an unshinikizwable presido.
Asipopewa atafanya nini!Kulikua na tetesi za Mkwere kukutana na Lowasa kabla ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha presidential candidate wa ccm. Makubaliano ya kumpa wizara yalifanywa maana jamaa na kundi lake la mafisadi walikuwa wamejipanga kumpiga pin Mkwere. Sasa ukweli wa tetesi hizi au uongo wake tutaujua baada ya kutangazwa baraza la mawaziri.