Mwanafunzi Yohana Amani Konki 17,auliwa na wanafunzi wenzake,kwa ramli ya mganga,kuwa ksiba simu

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
14,703
Reaction score
7,907
Mwanafunzi auliwa na wenzake,anayeitwa Yohana Amani Konki 17,kwa ramli ya mganga,kuwa kaiba simu
 
Attachments

  • Screenshot_2025-08-18_100042.jpg
    Screenshot_2025-08-18_100042.jpg
    126.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_2025-08-18_100146.jpg
    Screenshot_2025-08-18_100146.jpg
    137.3 KB · Views: 22
  • Screenshot_2025-08-18_100209.jpg
    Screenshot_2025-08-18_100209.jpg
    149.3 KB · Views: 23
Mwanafunzi auliwa na wenzake,anayeitwa Yohana Amani Konki 17,kwa ramli ya mganga,kuwa kaiba simu

Jamii yetu ili ipone, lazima ianze kuelewa uganga na ushirikina hauna msaada kwenye kutekeleza mambo yetu.

Imagine kama huyo kijana wamemsingizia halafu wakamuua. Maana hakuna evudence yoyote zaidi ya upuuzi wa mganga kuwachonganisha
 
Inasikitisha sana,pengine kijana angekuja kuwa daktari bingwa.
 
Back
Top Bottom