Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

me nafikir matendo yako ya kike labda ndo mana unafananishwa na dada zao so jarib kuchange kiasi uwe mgum we huoni justin bieber anavo ishi kunyoa,kuvaa,tofaut na alivo yote hayo anaepuk kuitwa mzuri
 
Reactions: B40
Kama ulikuwa unaandika huku ukiwa umewapa mgongo halafu wakatoa hiyo hoja..basi mkuu!
 
Huenda una share baba na huyo dada yake Neema.

Katikai yenu kuna mmoja kaishi na baba asiye baba ake Biological.
 
picha linaanza nishawaka//
picha linaanza nshadata//
picha linaanza nishachanganyikiwa//
 
Tumsubiri mwalimu Evelyn Salt aje atatupa majibu mubashara kabisa![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Neema kakuangalia kwa nyuma akakujudge..linawezekana dadake Neema pia anamsambwanda.
 
Avatar yako tu inaonyesha mfano wa kuwa upo bombaaaaa.

Bora umeyamaliza vizuri hao watoto wadogo ungeenda mbali wangekugeuzia kivao kwa kitu cha kipuuzi, ukakimbia kazi au kumsabahi Kamanda wa mkoa ulipo.

Mimi avatar yangu inaonyesha nikoje?[emoji53][emoji53]
 
Asante kwa ushauri
 
duniani watu wawili wawili mkuu usipaniki dogo ameamua akuchane tu huenda alikua anasema kimoyo moyo mpaka ameshindwa kujizuia kaamua atoe lock!

Pole mkuu
Mkuu hata kama duniani wawili wawili ndio kwa nifananishwe Na msichana dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…