Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Avatar yako tu inaonyesha mfano wa kuwa upo bombaaaaa.

Bora umeyamaliza vizuri hao watoto wadogo ungeenda mbali wangekugeuzia kivao kwa kitu cha kipuuzi, ukakimbia kazi au kumsabahi Kamanda wa mkoa ulipo.
mhh cocochanel!!!
 
Mkuu umeongea uloongea yanatosha, kama ana akili atakuwa kaelewa
 
ni saw coz dunian tuko wawili wawili watoto hawn makosa kabisa.pole san bro
 
Reactions: B40
Pole ticha,ni watoto hao.cha msingi angalia jinsi ya ku wa handle ki maadili.mbona hata hivyo ume win??piga kazi
 
Reactions: B40
Carolite na kulamba lips ndio matokeo yake hayo!
 
Walipofika nikataka kiini cha Neema kusema vile akasema akaniangalia nilivyo eti nimefanana na dada yake Dah! Nilikasirika sana ila Neema akajitetea kuwa hata rafiki yake aliemtaja yeye naye husema hivyo hivyo.


Ukweli na uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…