Mwanafunzi wa kike anataka kunitia majaribuni

Mwanafunzi wa kike anataka kunitia majaribuni

Teacher GANG MO kama nakuona vile tukija kukuletea sabuni wakati huo upo lupango ndani ya sare zenu[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio jf.

Mwalimu anamisiwa na wanafunzi wake anakuja kulalamika na kuomba ushaur...

Wakati siku mnafunga shule kwa mdomo wako ukawaambia wanafunzi tukumbukane jaman.. Leo unakumbukwa unaleta mjadala... Dah.
 
Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani.

Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic sana" nikamuuliza wewe ni nani akanitajia jina lake.

Ni mwanafunzi wa kike kidato cha tatu. Ni mtoto mwenye mvuto sana na ni mzuri sana. Sasa kila siku anatuma sms kwamba kanimic na anataka anitembelee ninapoishi. Nisipojibu sms analalamika kwamba namchunia.

Jamani haka katoto kananitia majaribuni sana. Naombeni ushauri wenu maana hapa nimefikia point of no return.
Unataka ushauri wa aina gani? Usichojua ni maadili ya ualimu au adhabu itayokupata baada ya kuisaliti taaluma na kujihusisha kingono na under 18?

Vv
 
Uliwezaje kuwa mwl kama mambo madogo kama hayo yanakufanya uje kulia lia Jf.

No wonder watoto wetu wana puyanga vidato bila hata kujua kusoma na kuandika.
 
Ukiingia sasa hivi utatoka stiglers goji inawaka, SGR imeunganishwa kwa umeme, bashite atakua jela, Ikulu ipo Manyoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaaha wadau hii ni fiction story. Yaan jf ukipost kitu kuhusu mapenzi comment zinatililishwa hatari. Nimepost hii thread ni masaa machache tu wadau wameshambulia hatari. Sasa post kitu cha msingi. Unakaa hata week moja lakini hakuna anayekoment. Hakika mapenzi yanarun dunia.
 
Wewe tu.
Ila Kuna jela ikiwa Itathibitika Ni kweli ulikengeuka na kumpa ujauzito Mwanafunzi ... Sheria itafuata mkondo wake pasipo kujali .... Ulikengeuka au Vinginevyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaaha wadau hii ni fiction story. Yaan jf ukipost kitu kuhusu mapenzi comment zinatililishwa hatari. Nimepost hii thread ni masaa machache tu wadau wameshambulia hatari. Sasa post kitu cha msingi. Unakaa hata week moja lakini hakuna anayekoment. Hakika mapenzi yanarun dunia.
Tupo na tutakunyoosha .. wee Haribu kazi uone Moto wake.
 
Walimu wasiku hizi bwana, eti jinsia mchanganyiko halafu mala sir nimekumisi.
Haahahaah
 
kweli nimeamini kweny miti mingi Hakuna wajenzi yaani mda wote unakaangalia ngoja kakakutangazie Kwa mashoga zake we ni hanisi tu utaelewa

Katafune unakwama wap kapeleke mbali Hakuna atakae waona
 
Back
Top Bottom