PreGE2025 Mwanafunzi UDSM: Wabunge wanawaza kurudi 2030 sio kujenga taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.

Akizungumza leo Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam, mbele ya wanahabari, Angasi amesema tofauti na mataifa mengine, hapa nchini baadhi ya wabunge huingia bungeni kwa lengo la kupanga mbinu za kisiasa zitakazowarejesha madarakani ifikapo mwaka , badala ya kujadili masuala ya msingi ya maendeleo.

“Mbunge anatakiwa aingie bungeni kuwasemea wananchi wake kwa maslahi mapana ya nchi. Lazima awe na uwezo wa kuandaa mpango mkakati na kuupeleka bungeni ili utungwe sheria zenye manufaa kwa wananchi,” amesema.

Aidha, Angasi amekosoa tabia ya kuchagua wabunge kwa misingi ya umaarufu au uwezo wa kifedha bila kuzingatia elimu na uelewa wa masuala ya kisheria na kiuchumi.

“Haiwezekani mtu mwenye elimu ya darasa la saba, kwa sababu tu anajua kusoma na kuandika, anazo fedha na anajua kuzungumza vizuri, apewe jukumu la kutunga sheria za kuongoza taifa. Bunge ni chombo nyeti kinachopaswa kuwa na watu makini,” amesisitiza.

Angasi amehimiza Watanzania kuwaamini vijana waliobobea kutoka vyuo vikuu na vyuo vya kati, kwa kuwa wanaweza kuibua mipango madhubuti ya kulisaidia taifa kwa nguvu na maarifa yao.

Yani lile bunge wabunge wote tungewatoa, wabaki Gen Z, na chadema ilipanga kuweka vijana majimbo yote, sasa majizii hayataki ccm
 
Vijana wengi jau, tuliona wakati wa magufuli, mmepewa msimamie ofisi za uma mwisho wa siku mnaishia kufanya mambo ya kishamba shamba tu.
 
kubeza au kujaribu kunajisi au kupaka shombo maamuzi ya wanachi kuhusu wawakilishi wao ni kujipalia mkaa mwenyewe.

nenda ukaombe ridhaa ya uongozi kwa wananchi kwa hoja hizo kama utachaguliwa.

kazi ya mbunge sio kutunga sheria pekeyake gentleman.

mchukue Prof yeyote unaemfahamu ambae ni mbunge, kisha linganisha record yake ya maendeleo jimboni kwake dhidi ya records na michango ya hao wabunge darasa la 7 unaowabeza, dhidi ya mambo mballimbali ndani ya bungee.

In fact,
ni nonsense kubabaishwa na wabunge wawili au wa tatu wenye kiwango hicho cha elimu ambacho pia kinawapa fursa ya kua wawakilishi wa wananchi 🐒
 
Bahati mbaya haosaidii chochote mfumo wetu ndio umetufikisha hapa
 
kubeza au kujaribu kunajisi au kupaka shombo maamuzi ya wanachi kuhusu wawakilishi wao ni kujipalia mkaa mwenyewe.

nenda ukaombe ridhaa ya uongozi kwa wananchi kwa hoja hizo kama utachaguliwa.

kazi ya mbunge sio kutunga sheria pekeyake gentleman.

mchukue Prof yeyote unaemfahamu ambae ni mbunge, kisha linganisha record yake ya maendeleo jimboni kwake dhidi ya records na michango ya hao wabunge darasa la 7 unaowabeza, dhidi ya mambo mballimbali ndani ya bungee.

In fact,
ni nonsense kubabaishwa na wabunge wawili au wa tatu wenye kiwango hicho cha elimu ambacho pia kinawapa fursa ya kua wawakilishi wa wananchi 🐒
Hekima ya uongozi haipimwi kwa shahada pekee bali kwa uwezo wa kuhudumia wananchi. Kuna maprofesa wabunge waliokwama na kuna wenye elimu ya msingi wanaofanya kazi nzuri majimboni. Kuwabeza watu kwa elimu tu ni kupuuza msingi wa demokrasia – ridhaa ya wananchi.
 
Je mbunge wa darasa la Saba Kama msukuma anaweza kujadili na kutunga miswada ya nchi ?

Sifikirii Kama ni sahihi Sana kusema darasa la Saba awe Mbunge wakati hakuna kitu anaweza kuchanganua zaidi ya kugonga meza.
 
huyo kijana huenda anatafuta kiki tu, but aende na hoja hiyo kuomba ridhaa ya uongozi kwa wananchi, hawezi kuambulia chochote.

na matokeo ya dhana za aina hii,
huibua kasumba ya ubaguzi baina ya wanajiona wamesoma dhidi ya ambao hawajasoma.

na ni hatari kwa umoja wa kitaifa 🐒
 
Je mbunge wa darasa la Saba Kama msukuma anaweza kujadili na kutunga miswada ya nchi ?

Sifikirii Kama ni sahihi Sana kusema darasa la Saba awe Mbunge wakati hakuna kitu anaweza kuchanganua zaidi ya kugonga meza.
Hoja yako ina uzito, lakini pia inahitaji mizania.

Ni kweli kuwa uelewa wa sheria, sera na uchambuzi wa kina unahitaji elimu nzuri na uwezo wa kufikiri kwa kina. Hivyo, kwa mtazamo wa kiutendaji, mbunge mwenye elimu ya juu anaweza kuwa na faida katika kuchambua miswada na kushiriki mijadala ya kitaalamu bungeni.

Hata hivyo, Katiba ya Tanzania haijaweka kiwango cha chini cha elimu kuwa kigezo cha kuwa mbunge, bali inaangalia ridhaa ya wananchi. Hii ina maana kuwa wananchi wanaweza kumchagua mtu yeyote wanayemuamini kuwa anaweza kuwawakilisha – hata kama hana elimu ya juu.

Kama jamii tunapaswa kutathmini upya vigezo vya uongozi na kuhamasisha elimu kwa viongozi wetu, lakini pia kuheshimu demokrasia na sauti ya wananchi. Hoja sahihi si kubeza, bali kuelimisha na kujenga mfumo unaowezesha viongozi wenye uwezo bora zaidi kuongoza.
 
Back
Top Bottom