Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni nyingine kutokana na faida zake.
Martin ameeleza hayo mwishoni mwa wiki wakati wanachuo wa UDSM wakizungumza na wanahabari juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.
"Hakuna dhambi kusema 'Oktoba unatiki' hakuna dhambi ukisema 'No Reform No Election. Lakini kwa maslahi mapana ya nchi nikagundua 'No Reforms No Election' ina faida kubwa sana", ameeleza Martin.