Mwanafunzi UDSM, Jimmy Mathias Bughado amepotea

Mwanafunzi UDSM, Jimmy Mathias Bughado amepotea

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya Alhamisi wiki iliyopita mpaka leo.

Alitoka mida ya jioni na kuaga kwamba anakwenda matembezi, hakurudi tena na hajulikani alipo.

Inasemekana katekwa na watu wasio julikana kwa atakayemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu namba 0752746751View attachment 3079560View attachment 3079561
alikuwa anajihusisha na siasa? and most probably Chadema? tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom