Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,100
- 8,213
Ni changamoto sana hawa watu wasiojulikana.
Nani kasema kuna ajabu? Kurudia aliyosema mleta uzi ni kosa?Cha ajabu kitu gani, umeishia la ngapi?
Tayari.Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya Alhamisi wiki iliyopita mpaka leo. alitoka mida ya jioni na kuaga kwamba anakwenda matembezi, hakurudi tena na hajulikani alipo. inasemekana katekwa na watu wasio julikana kwa atakayemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu namba 0752746751View attachment 3079560View attachment 3079561
uoe sasaNatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
IGP kazi inaota majani soon!Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya Alhamisi wiki iliyopita mpaka leo. alitoka mida ya jioni na kuaga kwamba anakwenda matembezi, hakurudi tena na hajulikani alipo. inasemekana katekwa na watu wasio julikana kwa atakayemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu namba 0752746751View attachment 3079560View attachment 3079561
😂Mbona kama ww mwenyewe umefikia conclusion kwamba ametekwa na watu wasiojulikana. Manake hajapotea ametekwa. Usikute na ww upo chuo kikuu lakini huwezi kuandika vizuri na kufikisha ujumbe !!?
Mama yupi?Huyu Mama itakuwa anakula nyama za watu Kama ilivyokuwa idi amini kipindi Cha vita.kwa Nini Kila siku wanapotea na haongei chochote
Inawezekana kutegemea ratiba yakeMwanafunzi udsm anaenda matembezi siku ya alkhamis
Unaposema ametoweka katika mazingira ya kutatanisha una maanisha nini?ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya Alhamisi wiki iliyopita mpaka leo.
Wakati hapa umesema aliaga kwamba anakwenda ‘matembezini’.Alitoka mida ya jioni na kuaga kwamba anakwenda matembezi, hakurudi tena na hajulikani alipo.
Kuna taarifa tatu togauti hapa umezitoa juu ya mtu mmoja;Inasemekana katekwa na watu wasio julikana kwa atakayemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu namba 0752746751
Vyuo vimefungwa, sahivi wako likizo, sasa aseme alikua anaishi sehem gani na alisema anaenda matembezi wapiiii?Mwanafunzi udsm anaenda matembezi siku ya alkhamis
Duuuh poleee sanaaa!!!Mmejaribu kupita hospital au mochwari. Kuna ndugu yangu alitoweka hapo karibu week nzima hapatikani wala hakuna anayejua alipo baada ya kutafuta sana alikuwa ameshafariki kwa ajali ya gari siku 8 hapo survey na sababu hakukutwa na simu wala vitambulisho ikawa ngumu kutambua yeye ni nani wala kutoa taarifa kwa ndugu.
Ukweli mchunguu huu.Kila atae potea katekwaa,vijana wengine wazizi wanatembea na wake za watu
Mambo ya mapenzi,wake za watuUkweli mchunguu huu.



