JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,177
- 7,472
Aidha; Nembo hiyo ilizunduliwa Rasmi tarehe 7 Julai, 2025 na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)
Soma pia:
Chapa ya Made in Tanzania kuanza kutumika
Taarifa hiyo imetolewa jana Juni 11, 2025 na Meneja wa Uhusiano kwa Umma na masoko wa Tan Trade Lucy Mbogoro jijini Dar es Salaam akiwahimiza wananchi kuchangia kwa kupiga kura kuchagua miongoni mwa alama zilizochujwa kutumika kama chapa bora ya utambulisho wa bidhaa za Tanzania === Mamlaka ya...
Chanzo: Mwananchi_official & Udom the official