Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Wallah mimi ningemtafuta mshana-jr tumfanyie mambo huyo binti mwenye roho mbayaaa kihivo simu kitu gani bwana tena usikute simu yenyewe tecno ya elfu sabini
Kwenye mahusiano kuna mengi yaliyojificha ndani yake hasa unapodate watu hawa
-mabinti wasio na kazi maalum lakini wamepanga vyumba/nyumba na wanaishi mjini
-mabar maid
-wanafunzi na wana chuo hasa wanaoishi hostel au waliopanga mitaani haya ni makundi ambayo yana mahitaji makubwa ya pesa na hawana uwezo wa kupata zote kwa mmoja hivyo inabidi wawe na misururu ya mabwana
Ukiwa date hawa na ukadhani uko pekeyako unajitafutia kifo cha mapema
 
Duh..that. Same scenario happened at mabibo hostel some years back..Mazingira ya hostel uwa Inatokea coz unakuta matukio ya Wizi Mengi kwa iyo watu wana hasira ikitokea mtu akaitiwa mwizi hawana Mda wa kuuliza..R.I.P to the Victim
 
Wewe au Nyie Wote MNAOJIFANYA KUHALALISHA KIFO Mnaitwa " Marginal / Other " Sources AMBAO HAMNA UKWELI WOWOTE MNAOUJUA ZAIDI TU YA UMBEA NA MAJUNGU Isipokuwa AFISA HABARI WENU Ndiyo AUTHORITAVE SOURCE Na SISI TUNAMSIKILIZA Na TUNAMUAMINI KUWA HAKUNA MWANAFUNZI WA SAUT YOYOTE ALIYEFARIKI DUNIA NA BADALA YAKE NI KWAMBA KUNA MWANAUME ( MWIZI ) ALIINGIA KATIKA CHUMBA CHAKE NA KUIBA SIMU NDIPO AKAPIGA MBIU YA KUIBIWA AMBAPO WATU WA HAPO WANANZENGO NA WANAFUNZI WA SAUT WAKAJIUNGA PAMOJA HADI WAKAWAUA.
Unajua hata wewe hujielewi unachobisha hasa ni nini...Ni wapi katika uzi huu mtoa uzi kasema aliyefariki ni mwanafunzi wa SAUT?....acha kukurupuka na videsa vyako vya so called journalism sjui....
 
Hivi nzengo ni nini? Naona limetumika sana humu. Ni sarufi mpya ya kiswahili? Nahisi ni neno jipya kwangu, mnao fahamu mnijuze maana yake tafadhali,
 
Siku ya kufa ikifika lazima kuwe na kijisababu chochote kitakachosababisha mauti yako...kamwe hakuna kifo kinachokosa sababu

Ambiere Evava!

Hilo ni kweli.... Siku ikifika lazima itokee sababu ya kukufanya uondoke.
 
Kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika katika kuangalia simu ya mpenzi wake alikuta sms ya mwanaume mwingine ambapo,alichukia na kuamua kuondoka na simu ya mpenzi wake.

Alichokifanya binti huyo aliita MWIZI, watu walikuja na kupiga bila kuuliza.

View attachment 325868
Akome! Alitakiwa aache simu ya huyo binti na aondoke kimya akauguzie maumivu mbele ya safari. Kwani huyo alikuwa ni mkewe? Jibu ni lazima hakuwa! Sasa kiherehere cha nini kuchungulua simu isiyo muhusu? Na inawezekana hata yeye kwenye simu yake kulikuwa na sms na picha kibao za warembo marafiki zake! Hiyo ni fundisho kwa vijana na watu wengine kuwaamini watu! Kuna usemi usemao Everybody plays the fool in some instances!
 
Kwenye mahusiano kuna mengi yaliyojificha ndani yake hasa unapodate watu hawa
-mabinti wasio na kazi maalum lakini wamepanga vyumba/nyumba na wanaishi mjini
-mabar maid
-wanafunzi na wana chuo hasa wanaoishi hostel au waliopanga mitaani haya ni makundi ambayo yana mahitaji makubwa ya pesa na hawana uwezo wa kupata zote kwa mmoja hivyo inabidi wawe na misururu ya mabwana
Ukiwa date hawa na ukadhani uko pekeyako unajitafutia kifo cha mapema
Kabisa mkuu kingine dada zetu sikuhizi ibilisi wa tamaa kawaingilia sana mwishowe wanajikuta kwenye matatizo makubwa hawaridhiki na hali waliyonayo.ila mimi nilishasema mwanamke aliye chuo sitojihushisha naye
 
Kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika katika kuangalia simu ya mpenzi wake alikuta sms ya mwanaume mwingine ambapo,alichukia na kuamua kuondoka na simu ya mpenzi wake.

Alichokifanya binti huyo aliita MWIZI, watu walikuja na kupiga bila kuuliza.

View attachment 325868
HII NI AJALI KAZINI. I HOPE BINTI HATACHUKULIWA HATUA YOYOTE YA KUUA KWA KUWA WALIOMUUA JAMAA NI WANANCHI WENYE HASIRA. POLENI SANA WAFIWA KWA KUMPOTEZA KIJANA WENU KIZEMBE HIVYO.
 
Back
Top Bottom